Richmoto Kushmoto
JF-Expert Member
- Jan 18, 2021
- 549
- 557
Hawa jamaa nasikiaga vingamuzi vyao haulipi na wana free channel karibia 20 hivi Watumiaji wa hivi vitu mtupe muongozo
wasaalam
wasaalam
Achana nao kabisa.Hawa jamaa nasikiaga vingamuzi vyao haulipi na wana free channel karibia 20 hivi Watumiaji wa hivi vitu mtupe muongozo
wasaalam
Kampuni ilisha kufa mie ninacho hata hakina huduma yoyote. Kachukuwe Azam TV decoder achana na hawa weziHawa jamaa nasikiaga vingamuzi vyao haulipi na wana free channel karibia 20 hivi Watumiaji wa hivi vitu mtupe muongozo
wasaalam
Mie nilikuwa nao nimewatema lasmi nimechukuwa Azam TV, naona wako vizuriChannel zinazoonyesha bure ni star TV Na TBC
Ukitabahatisha unaweza kumpata zoazoa Na family TV
Nina mpango WA kuwashitaki
Mtoto wa mkwawaBro wewe ni msabato au msukuma??
MmasaiBro wewe ni msabato au msukuma??