Hivi vikao vya Rais na makundi mbalimbali ni waste of time and resources, hakuna jipya!

Jiwe amewaita kupata kura na wala si kuwasikiliza. Kwani hajui shida alizozileta? Jiwe amexzaliwa kwenye umasikini, anajua shida zote za masikini! Anajua shida zote za democrasia and the like. it is a wastage of time!
Umesahau yule aliyewaita Maskofu wa dini yake wakati wa mchakato wa uteuzi wa mgombea wa Urais CCM?
 
Utakuwa mchawi Sio bure ndugu yangu. Kinachoonekana mpo watu mnataka uhuru na Demokrasia ya maneno lakini Ndani mnajua JPM anafanikiwa na Sio Yeye binafsi bali Malengo yake. Mnashinda kila Siku kuleta uzi wa President ambaye hagusi directly shida zako ni dalili ya hate -Upendo na mnataka kila mtu awafuate mawazo yenu . It’s a pity that you will never learn to appreciate anything, na hiyo lazima iwe inareflect maisha yako.
Facts mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee meko anatumia nguvu kubwa kukubalika. Anajisumbua bure, wapinzani hawakosekanagi siku.

Hata afanyaje hawezi kupata kura yangu 2020
Kama unaamini hivyo, tumia JF kutupa kiongozi unayeona anafaa na sifa zake ili ajengewe uhalali mapema.

Ila, wakati ndio mwamuzi wa yote na hakikisha unatumia haki yako ya kupiga kura.
 
Kila nikimtazama jpm naona kaishiwa pumzi na kwa hali ilivyo muda ni mwalimu itamkatikia! Amejitahidi kufunga midomo lakini watu wamepata upenyo wa kumwaga kila uchafu wake ktk media kubwa za dunia najua hata hili la kuita viongoz wa dini ni namna ya kupunguza joto lililo kifuani mwake, pengine anatamani aalike press conference ili ajibu mapigo lakini majibu hana natumai anakaribia kuwaita mama ntilie nao wampoze moto wa moyon.
Ndio unavyojidanganya? Hana pressure kama wewe una shinda jf kupinga kupinga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli roho mbaya tu ndo inamsumbua hana lolote. Anajaribu kufanya damage control kwa alichokisema lissu bila mafanikio.

Mungu hamfichi mnafiki!

Sent using Sukhoi Su-57
 
Dikteta anahangaika na Luhansk.

Rais Magufuli must stop goofing around - atumie vizuri muda wake kufanya kazi, not to waste the time of busy people...Mara nyingi nimekuwa nikikaa kumsikiliza tangu anapoanza kuhutubia hadi anapomaliza I am sorry kusema sikumbuki kama kuna wakati wowote amewahi kuniongezea maarifa mapya - anazungumza vitu obvious, bare facts na anakwepa pressing issues...

Hii mikutano yake na makundi mbalimbali haina tija yoyote....hivi honestly anahitaji kukutana na mtu yeyote kuelewa kuwa nchi ina matatizo lukuki? Doesn't he read? Kama hasomi hata kusikia hasikii? Au anawaita tu kutafuta some sympathy kwa makosa lukuki ya miaka mitatu ya uongozi wake ambayo sasa anaona ni vigumu kuyasahihisha?

Kama alikwishaandikiwa nyaraka RASMI za Kiuaskofu na hakuelewa issues zilizokuwa raised badala yake akaishia kutishia kufuta makanisa na kuwanyang'anya Maaskofu hati zao za kusafiria na kuhoji uraia wao, anahitaji vikao vingine na hawa viongozi asikie nini kipya? Anataka kusikia wanavomsifia UONGO?

Kama ameshaandikiwa na EU na US na wadau wengine na bado hajajua issues ambazo ziko raised anahitaji kukutana na makundi mengine ili asikie nini?

Kama mtu keshakutana na wafanyabiashara katika mabaraza yao na bado haelewi kuwa nchi inakabiliwa na matatizo lukuki katika uongozi wake na hoja zao hajazifanyia kazi anahitaji vikao vingine ili ajue nini?

Kama mtu ameshakutana na wasanii na bado haelewi kero zinazoikabili nchi anataka asikie kitu gani zaidi?

Ma-DC na ma-RC wake ni kero kubwa na wamejenga chuki kubwa kwenye jamii na ameelezwa countless times hasikii wala haelewi, anahitaji vikao hivi kila siku on live TV ili asikie kitu gani kipya?

Three years mtu bado haelewi matatizo ya nchi, like seriously?
 
Bunge live marufuku, siku hizi tunaonyeshwa (at east kwa wale wanaojisumbua kuangalia!) vikao,mikutano ya ikulu,mapokea ya gawio,uzinduzi, uzinduzi wa makabidhiano ya mtambo wa simu! Huwa najiuliza nani mwenye akili zake timamu na mwenye kazi za kufanya anafuatilia huu upumbavu! Nini kimetupata mbona awamu nyingine haya mambo hatukuyasikia,labda yalikuwepo lakini watu hawakuona umuhimu wa kutuonyesha live! Mwisho wa siku unajiuliza, so what? Kikao cha viongozi wa dini kina tija gani kwangu nisiye na dini?au kikao cha wadau wa madini kina tija gani kuwa live kwa mimi muuza vitumbua na samaki wa kukaanga? Hivi kweli hatuwezi kutumia rasilimali ndogo tulizonazo kufanya ya maana. Hotuba zenyewe ni ujinga tu,wala hamna jipya la kujifunza! Mchawi nimerudi.
 
Uko sahihi tatizo hadhira anayolenga ni majority ya watz ambao wana tatizo la iq

Sent using Jamii Forums mobile app
Wana tatizo la iQ kama wewe.
Usitake kulazimisha watu wote wawe na ma wazo na mtazamo kama wako. Hilo kamwe halitatokea katika dunia hii. Siku zote upinzani katika jambo lolote lile upo. Hivyo usitemee kila mtu kukubali kitu au jambo lako no matter ni zuri kiasi gani!
 
Mikutano mingine inasaidia mfano kile kikao cha watu wa madini kilikuwa positive sana na rais ameweza kujua mambo mengi ambayo alikuwa hayafahamu
Kuanzia biashara ile hadi watendaji wa madini....
Sasa hiyo mikutano mingine sijui?

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe anavuruga amani yetu kwa kupiga watu risasi, kupoteza na kuwateka raia wasio na hatia halafu leo eti anataka kuhubiri amani. Ni amani ipi hiyo?
 
Huyu bwana alitaka urais si kwa manufaa ya nchi bali ya kwake binafsi. Ana ugonjwa wa kupenda kusifiwa na kila mtu na kuonekana kwenye media. Ila swali ambalo huwa najiuliza mtu kama huyu waliwezaje kupitishwa kuwa mgombea? ccm imefilisika kiasi hiki kiasi cha kuona huyu na bashite ndio brain za kuongoza nchi!
Ugomvi Wa Boys to Men walipofika ikulu ndio umezaa hizi shida tulizonazo. Hiyo ni awamu ya NNE waliotuachia machungu ya Leo. Dhambi hiyo itawatafuna hadi kizazi cha NNE chao .Rohoni Nina imani nafsi zinawasuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Magufuli must stop goofing around - atumie vizuri muda wake kufanya kazi, not to waste the time of busy people...Mara nyingi nimekuwa nikikaa kumsikiliza tangu anapoanza kuhutubia hadi anapomaliza I am sorry kusema sikumbuki kama kuna wakati wowote amewahi kuniongezea maarifa mapya - anazungumza vitu obvious, bare facts na anakwepa pressing issues...

Hii mikutano yake na makundi mbalimbali haina tija yoyote....hivi honestly anahitaji kukutana na mtu yeyote kuelewa kuwa nchi ina matatizo lukuki? Doesn't he read? Kama hasomi hata kusikia hasikii? Au anawaita tu kutafuta some sympathy kwa makosa lukuki ya miaka mitatu ya uongozi wake ambayo sasa anaona ni vigumu kuyasahihisha?

Kama alikwishaandikiwa nyaraka RASMI za Kiuaskofu na hakuelewa issues zilizokuwa raised badala yake akaishia kutishia kufuta makanisa na kuwanyang'anya Maaskofu hati zao za kusafiria na kuhoji uraia wao, anahitaji vikao vingine na hawa viongozi asikie nini kipya? Anataka kusikia wanavomsifia UONGO?

Kama ameshaandikiwa na EU na US na wadau wengine na bado hajajua issues ambazo ziko raised anahitaji kukutana na makundi mengine ili asikie nini?

Kama mtu keshakutana na wafanyabiashara katika mabaraza yao na bado haelewi kuwa nchi inakabiliwa na matatizo lukuki katika uongozi wake na hoja zao hajazifanyia kazi anahitaji vikao vingine ili ajue nini?

Kama mtu ameshakutana na wasanii na bado haelewi kero zinazoikabili nchi anataka asikie kitu gani zaidi?

Ma-DC na ma-RC wake ni kero kubwa na wamejenga chuki kubwa kwenye jamii na ameelezwa countless times hasikii wala haelewi, anahitaji vikao hivi kila siku on live TV ili asikie kitu gani kipya?

Three years mtu bado haelewi matatizo ya nchi, like seriously?
Inaonekana umekerwa sana kwa mileage yako kuuwa-undercut.
Kwenye utawalabora kuna pillars 5, mojawapo ni ushiriki wa watu (makundi) kwenye uundaji wa sera za umma. anachokifanya JPM, na ambacho kinakukera, ni kushirikisha watu (makundi) kuhakikisha sera za nchi zinahakisi matakwa ya umma katika Umoja wao.
Pole
 
Una maanisha nini hapo kwenye wapinzani?

Ni vizuri kumuonyesha ambapo anafanya vibaya, lakini kutumia lugha nzuri, bila kejeli, matusi, dharau.

Hata JF, hoja na wapinzani nyingi tu zina mashiko, ni nzuri, lakini zikiletwa hapa ni matusi, kejeli mwanzo mwisho.

Hivi wewe kama binadamu mtu akikutukana kwanza baadaye akakupa ushauri utamsikiliza.

Naamini kama kuna watu 1000 kati yao 995 watatoa michango ya kumpinga, kumsahihisha bila matusi, kejeli, hizo hoja zinaweza kufanyiwa kazi.

Ni kutambua kwamba maneno yetu yana nguvu hasa ya watu wengi.

Kumuita petty dictator, skunk of the world, mshamba na limbukeni haviwezi kulisaidia hili taifa.

Petty dictator (dikteta ucharwa) ulitaka awe dikteta kamili? kupinga kila kitu, lugha kama hizi hajijengi, ila zitawafurahisha wengi na utapata umaarufu.
 
Back
Top Bottom