Hivi vigogo wa JF Siasa wao hawahami vyama?

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Najiuliza hata ID fake, utambulisho wenye ujasiri kabisa kwa sababu hakuna anaemfahamu isipokuwa sura za maandishi yao.

Huku ni kugumu au, wafuasi wanamisimamo kuliko viongozi wao?
Au kuhama kwa huku ni kubadili ID, kuogopa kuvunja heshima iliyojengeke?

Hapa namaanisha ID Fake zote Active CCM, na ACTIVE Upinzani tangu matokeo ya 2015, maana hapo tulishuhudia hamahama za Ufuasi hadi huku kwenye maID Fake.

Note: Binafsi Sina chama, ila niko Upande wa Serikali ya sasa na Natamani wanasiasa wahame kwa kadili wanavyotaka ila WANANCHI TUPATE MADHARA CHANYA YA HAMAHAMA ZAO.

....
 
Kama Nani?? Mimi nipo hapa tangu 2008 hadi Leo Hii, Mimi niko Upinzani, na sijawahi kukengeuka hata siku moja aiseee! Laiti angekuepo rafiki yetu Mohamedi Mtoi Aaghh MANI yupo hata Leo Hii, Chakaza tpaul BAK na wengineo wenye akili!
mabadiliko ya 2015, yalivuruga wengi humu...
kuna walioondoka na Dr Balozi...
Kuna walioondoka na mzee Lws...
Kuna waliovuka upinzani wakarudi CCM, kwa kuogopa kunajisika na ingizo jipya...
Kuna walioachana na Siasa...
Kuna waliobaki vyama vyao kwa manung'uniko...
kuna walioimarika ktk vyama vyao...
kuna walioamua kujishughulisha na siasa za maendeleo...
etc
na aina mbalimbali...
 
MUSSA ALLAN alitoka ccm kwena CDM mwaka 2015
huyu ndio sample kubwa ya harakaharaka mkuu...
huyu ila inaonekana hajaifuata CHADEMA kamfuata LWS kumaintain consistence ya ushabiki wake.
ila inaonekana kaanza kuchokachoka maana haonekani jf karibu miezi minne mfululizo.
 
Kama Nani?? Mimi nipo hapa tangu 2008 hadi Leo Hii, Mimi niko Upinzani, na sijawahi kukengeuka hata siku moja aiseee! Laiti angekuepo rafiki yetu Mohamedi Mtoi Aaghh MANI yupo hata Leo Hii, Chakaza tpaul BAK na wengineo wenye akili!
Hao wachumiatumbo wanaohama vyama kila kukicha wanatumikia matumbo yao zaidi kuliko kusukumwa na dhamira za kweli kutoka mioyoni mwao isipokuwa wachache sana akina Nyalandu, Lowassa, etc ambao walihama kwa minajiri ya ukombozi wa taifa hili changa linalotumbukizwa shimoni na nyang'au wa CCM.
 
Kama Nani?? Mimi nipo hapa tangu 2008 hadi Leo Hii, Mimi niko Upinzani, na sijawahi kukengeuka hata siku moja aiseee! Laiti angekuepo rafiki yetu Mohamedi Mtoi Aaghh MANI yupo hata Leo Hii, Chakaza tpaul BAK na wengineo wenye akili!
Mkuu uko sahihi, nimejiunga JF 2007 nikiwa ndani ya Chadema kwa miaka 10, yaani nilijiunga nayo 1997. Ups and downs za Chadema kama taasisi nazielewa na kuzikubali. Lakini pia CCM naifahamu vizuri kwani nimekuwa mtumishi Wa umma kwa miaka mingi kabla sijaachana na utumishi huo.
Naifahamu ccm ya Nyerere hadi hii ya Magu tena pengine kuliko hata hao walio ndani yake na kwa vyeo vya juu. CCM kila Siku iendayo mbele inakuwa nafuu Jana kuliko Leo.
Sasa kwa vile sitegemei kula Yangu na familia katika siasa kwa nini nijikombe Kule ambako "nafuu Jana kuliko Leo?"
Hakika kwa hawa vijana wasio jua, ni kwamba ccm ya sasa ni mbovu kabisa kuliko wakati mwingine wowote. Kama unaona wakina Kitila, Masha nk wanaenda huko na wanataka kujua ukweli kwa nini wanaenda kwa mbwembwe wawaite pembeni na kuwashikisha misahafu waape na kusema kweli. Watajibu "MASLAHI TUU"
Naamini Mungu atanijalia niishi mpaka nione ccm ikiondolewa na wale wanaotenda mambo mabaya kama yale ya Lissu, Saanane, Mawazo nk wakionyeshwa hadharani na kupata haki yao. Pia watu wote wakifaidi Neema ya nchi yao.
Siku hiyo yaja na haiko mbali
 
mkuu umeeleza vizuri consistency yako humu.
swali;
chadema unafuata Sela zao, Umahili wa viongozi au chuki dhidi ya CCM chadema ndio inakuwa mbingu salama kwak0?
kwa uzoefu wako, unaweza kuleta maelezo mujarabu kabisa ukizingatia chadema imepitia katafunua za kiitakadi hapo 2015 ambazo zilisababisha watu wakiangalie chama kwa jicho shaka.
 
Kwa hapa JF, Kuhamia Chadema inatakiwa uwe na kamusi nzuri ya matusi, wengine hatujajaliwa kipaji cha kutukana.
Pole sana stroke, kumbe unaogopa kuhamia Chadema kwa vile wanaccm watakutukana nawe hujajaliwa kipaji cha kutukana? Usihofu wakitukana we we usitukane bali uwajibu "peoples!'
 
Nimependa hapo...'binafsi sina chama,ila niko upande wa Serikali ya sasa..!!
Kweli mkuu.
Nikiwa shule ya msingi, Darasa la pili, nakumbuka ndio siku yangu ya kwanza kuhudhulia mikutano miwili ya siasa. Moja Wa Mrema, Baadae akaja mwalimu JK Nyerere kumpigia kampeni Ben.

Watu wangu wa karibu kabisa,wakiwemo walezi na wazazi wamegawanyika kwenye makundi mawili yanayoheshimiana.
1:Kundi la CCM
Hawa ni CCM kindakindaki, na nimeshuhudia wakisaidia watu wengi tu wakifahulu.

2:Hawa sio chadema Bali wapinzani Kweli Kweli maana wamehama kutoka UMD,NCCR Mageuzi,TLP, UDP,CUF na Sasa wako CHADEMA kote huku ni harakati ya kumsurubisha CCM bila mafanikio, Wengine wamegombea ubunge na udiwani bila mafanikio.

3:Watu wa BIBILIa Saana, Hawa ndio ambao mimi niliwakubali na kuwafuata, japo kamwangwi ka SIasa kanaishilizia mkuu.

Ila namba 1 na 2 ikifika wakati wa siasa, huwa wanatundika bendera zote mbili kwenye mji mmoja ila hawagombani.

Ila ushauri wao siku zote kwa kijana wao Usiingie kwenye siasa. Hapa wengine tupo kuleta changamoto tu mkuu, Ndio maana nasema naunga mkono serikali japo sina chama.
 
mkuu umeeleza vizuri consistency yako humu.
swali;
chadema unafuata Sela zao, Umahili wa viongozi au chuki dhidi ya CCM chadema ndio inakuwa mbingu salama kwak0?
kwa uzoefu wako, unaweza kuleta maelezo mujarabu kabisa ukizingatia chadema imepitia katafunua za kiitakadi hapo 2015 ambazo zilisababisha watu wakiangalie chama kwa jicho shaka.
Swali zuri, nitakujibu jioni nikimaliza shughuli kwani linataka utulivu.
Asante.
 
mabadiliko ya 2015, yalivuruga wengi humu...
kuna walioondoka na Dr Balozi...
Kuna walioondoka na mzee Lws...
Kuna waliovuka upinzani wakarudi CCM, kwa kuogopa kunajisika na ingizo jipya...
Kuna walioachana na Siasa...
Kuna waliobaki vyama vyao kwa manung'uniko...
kuna walioimarika ktk vyama vyao...
kuna walioamua kujishughulisha na siasa za maendeleo...
etc
na aina mbalimbali...
MTAZAMO aliondoka na Slaa
idawa pia
 
Mimi chadema kwangu ni Imani sio siasa, tuwaache wanasiasa wahame tu.... Mimi niacheni na imani yangu
Wanahoja mabovu Sana eti ccm hatupambani na ufisadi , dola ndio inatakiwa ipambane nayo sisi hatuna dola... Ila tunamawazo mbadala
 
Back
Top Bottom