G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,335
- 5,184
Kila sehemu naona kuna vikundi vya watu na maandamano madogo madogo, hivi vibali wamevitoa wapi?
Hujayaona kwenye tv huko shinyanga mkuuAyo Maandamano Ni Lin Kwan
Mr FrontpageKumsifia mkulu unaruhusiwa hata bila kibali sababu ni mpenda sifa.
Kwa hiyo bashite alienda huko shy kuwapa pesa waandamane mkuu?Pesa waliyopewa na bashite ni kibali tosha
Hapo hana tatizo kabisa.Mr Frontpage
Vipi wale wanaompinga wakifanya hivyoKumsifia mkulu unaruhusiwa hata bila kibali sababu ni mpenda sifa.
Mwanasiasa ni Mwanasiasa tu.. sikufikiri kama mtukufu nae angeingia kwenye mkumbo wakuzalisha Vikundi vya kumtukuza.... watu tulitegemea Kazi ndio imtukuze sio Vikundi pole kwa wanaotarajia Jipya!Kila sehemu naona kuna vikundi vya watu na maandamano madogo madogo, hivi vibali wamevitoa wapi?
Hahahahahaha ni shida sana nchi hiiWe live in a country where some people have decided to use their heads as hardware and politics as software for operating those heads.