Hivi vazi la chupi kwa mwanamke lina kazi gani?

Nguo zote za ndani zinapovaliwa humfanya mtu ajihisi stable.

Zinaufanya mwili uwe mwepesi.
Ukijumlisha na faida nyingine zilizotajwa hapo juu basi inakubidi uanze kuvaa mara moja.
 
Chupi na boxer ni business ideas zilizoanzishwa na wafanya biashara ili kuuza wazo lao,
Walikaa wakasema kutokuvaa underwear si ustarabu!

Kama walivyokaa na kuanzisha wazo la kutokupiga mswaki si ustarabu,wakageuza dawa za chooni kua dawa za meno
 
Inashikilia kipochi manyoya in place. Wengine vimeshuka
 
Inazuia watu wasione dudu

Hahaha umenikumbusha enzi hizo

"Duka La mzungu li wazi lauza Mchele na nazi kitumbua sio andazi"

Lazima ujishtukie tu kama hukuvaa chupi,unaweza rushiwa kajiwe kunako.
Bila shaka hii ilikuwa tunaimbaga moshi
 
unajua wakati mwingi bange unatatakiwa uvute ukiwa umekula nasiyo kwenda kuvutia chooni ukitoka huko lazim utakuwa na mawazio kama hayo tu
 
Hahha ila mna mbeza hyu jamaa ila ukifkilia kwa ndani ni vazi tunavaa ila shida ni kwamba hata ukikaa vibaya chupi ikaonekana utasikia kaa vzr huku nyuma uko uchi! Swali km niko uchi na nimevaa chupi ! Je inakazi gani? Tafakari
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom