Hivi Vatican haiwekeki vikwazo kama nchi zingine? Ni nchi gani imeshamkatalia Secretary of State wa US kuingia zaidi ya Vatican!

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,409
2,263
Nawaza tu. Kwamba ni nchi gani yenye ubavu wa kumkataria secretary of state wa USA kuingia nchini kwao isiweze kulimwa vikwazo kama mvua.

Majuzi Vatican imemkataria Pompeo kuingia Vatican kama nchi na akaufyata. Sasa hii siyo proof kwamba Vatican ni heaven ya hapa duniani?

Leo Trump pia amesalimu amri kwa kuwaomba kwa Wakatoliki kwamba bila wao Marekani haipo.

Naomba mnitajie nchi yenye ubavu wa kumzuia Pompeo asiingie nchini kwao na ikabaki salama.
 
Saudi Arabia na Mecca yao.

Wakristo ni Taifa teule ndiyo maana unaona hivyo, Mungu wa Israel yupo nao, wao ndivyo wanavyojinasibu, mimi sina uhakika.
 
Zipo nyingi tu,kwani wakikataa atalazimisha?

kama watu wanaidindishia Marekani itakua pompeo ambae umemjua kwa ajili ya hiyo Marekani.
 
Vatican ni nchi huru na haifungaman na upande wowote. Hata ukiwekewa vikwazo ila ukitaka kwenda Vatican ni ruksa hakuna wa kukuzuia.Utaratibu uko wazi kipindi cha uchaguzi kwenye nchi yako huwezi kupewa baraka za kuingia kukwepa mgongano wa kimaslah. Ukimaliza uchaguzi ruksa ya kuingia ipo palepale. Vatican ni sehemu ya kusuluhisha na kupapatanisha kidiplomasia zaidi.Papa anasikilizwa sana hapa dunia
 
Kwani papa si ni yule mnyama naskia!!
 
Nawaza tu. Kwamba ni nchi gani yenye ubavu wa kumkataria secretary of state wa USA kuingia nchini kwao isiweze kulimwa vikwazo kama mvua.

Majuzi Vatican imemkataria pompea kuingia Vatican kama nchi na akaufyata. Sasa hii siyo proof kwamba Vatican ni heaven ya hapa duniani?

Leo Trump pia amesalimu amri kwa kuwaomba kwa wakatoliki kwamba bila wao marekani haipo.

Naomba mnitajie nchi yenye ubavu wa kumzuia pompeo asiingie nchini kwao na ikabaki salama!
Tamko la Vatican Ni kuwa 'hawapokei mwanasiasa yoyote katika kipindi Cha uchaguzi'

Sasa wewe kama umekuja na thread yenye mantikiki kwamba Pompeo kapigwa 'bani' Kama lile alilopigwa Bashite na US..Mimi sijui!
 
Back
Top Bottom