Hivi utendaji wa makamba na mzee philip mangula unawezalingana?????

shiumiti

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
435
19
Wapendwa wangu Great Thinkers...mimi katika kufuatilia sana utendaji wa hawa wawili, nimegundua kwamba Mh. Makamba ni kiongozi ambae maneno yake huwa yanamashaka sana. Kwa mfano:
  1. Kuna kipindi alikuwa anahutubia wananchi kule Tarime...akisisitiza kuwa Nanukuu "SISIEM na viongozi wake wanadhamira ya dhati kuondoa umaskini kwa Watanzania, lakini kwanza lazima waondoe umaskini wao viongozi kwanza".
  2. Juzi juzi wakati wa uchaguzi, NEC iliamua (yeye ni mjumbe pia) kura zinapigwa na watu wenye shahada tu. Yeye kama Makamba Kama Katibu Mkuu wa SISEM alisikika akisema, nanukuu "hata mwanachama mwenye Kadi ya SISIEM (sharti iwe ni kadi hai) anaweza kupiga kura"
  3. Leo kwenye taarifa ya habari nimesikia pia anasema, nanukuu "SISIEM haiwezi kukaa meza moja na CHADEMA kujadili mgogoro wa Meya mjini Arusha kwa sababu Meya wa Arusha ameshinda kihalali". Wakati huo huo Makamu wa MWenyekiti wa SISIEM anasema Mkuu wa Nchi amesikitishwa sana, na inaweza pelekea Kamati Kuu ya SISIEM Kukutana na kujadili.
HIVI KUPITIA UTATA HUU KATIKA UTENDAJI WA MAKAMBA, UNAWEZA KWELI KUMFANANISHA NA MANGULA AU MAKATIBU WAKUU WA CHAMA WALIOPITA????

Naomba kutoa hoja......
 
Hivi Makamba alikuwa Mwalimu wa shule ya msingi sio?????????
 
Hata siku moja hawalingani makamba anabwabwaja sana philip mangula ni mwana diplomasia wakati makamba sijui ni nani vileeee labdda mpiga debe tu
 
Mzee Mangula ni mwanasiasa mkomavu na mwanadiplomasia makini. In fact, ndiye aliyesaidia hata kupunguza jazba nyingi za Nkapa wakati wa utawala wao yeye akiwa secretary general na nkapa akiwa chairman. Timu ya sasa chini ya jk na makombo (samahani, makamba) ndiyo kituko. Wengine wanasema makamba alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na aliacha kazi baada ya kubaka katoto ka shule. Kwa mtazamo wangu tabia ya makamba inaonyesha hata ualimu wa shule ya msingi haukumwingia barabara. Mzee anabwabwaja huyo sijapata ona. Ukimpeleka ubungo stand anaweza akafiti bila matatizo.
 
Wanajamvi wa JF,
Je, tunaweza kulinganisha hizi seti mbili za wakubwa katika masuala ya kiutendaji kichama na kiserikali, Nkapa na Mangula na Kikwete na Makamba? Kama ndiyo, basi tuanike tofauti zao hapa. Karibuni sana wakuu.
 
Kwakweli jamani kwa watu wanao itakia mema sisiemu hawanabudi kuangalia kauli za huyu mzee. Bado anaamini kuwa yeye ni Mkuu wa mkoa fulani kwahiyo anasahau wajibu wake. Alizoea kutoa maagizo yanatekelezeka kwa kipindi hicho " ENZI ZA MWEMBECHAI" kwasasa siyo hivyo hadi vijadiliwe sasa sijui huwa anasahau au makusudi?! Daaaa!!!!!!!!
 
Ni vyema JK akamtafutia kazi nyingine...wengi wanasema ile nafasi haikutakiwa apewe yeye.... SISIEM ina watu makini wengi sana, lakini inaonekana Mh. JK anawakwepa, ndo maana anaishia kubaki na makanjanja kama Makamba.

Mzee Mangula ni mwanasiasa mkomavu na mwanadiplomasia makini. In fact, ndiye aliyesaidia hata kupunguza jazba nyingi za Nkapa wakati wa utawala wao yeye akiwa secretary general na nkapa akiwa chairman. Timu ya sasa chini ya jk na makombo (samahani, makamba) ndiyo kituko. Wengine wanasema makamba alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na aliacha kazi baada ya kubaka katoto ka shule. Kwa mtazamo wangu tabia ya makamba inaonyesha hata ualimu wa shule ya msingi haukumwingia barabara. Mzee anabwabwaja huyo sijapata ona. Ukimpeleka ubungo stand anaweza akafiti bila matatizo.
 
Lakini kweli!!!!!!!! Nafasi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar si bado Iko wazi. Kama Mh. JK anasomaga hii forum, anaweza kutusikiliza.

Kwakweli jamani kwa watu wanao itakia mema sisiemu hawanabudi kuangalia kauli za huyu mzee. Bado anaamini kuwa yeye ni Mkuu wa mkoa fulani kwahiyo anasahau wajibu wake. Alizoea kutoa maagizo yanatekelezeka kwa kipindi hicho " ENZI ZA MWEMBECHAI" kwasasa siyo hivyo hadi vijadiliwe sasa sijui huwa anasahau au makusudi?! Daaaa!!!!!!!!
 
They are all the same in that they like to grab and amass! Tofauti yao ni kwamba they differ in thinking capacity! it's easy to determine who has gotten a high IQ! Wala hauhitaji kuulizwa ni yupi mwenye afadhali!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom