Hivi utawatambulishaje Mawaziri hawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi utawatambulishaje Mawaziri hawa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kiparah, Mar 23, 2011.

 1. k

  kiparah JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  David Kinembe (Miundombinu-Kenya), James Kakuma (Biashara - Zambia),

  Akaja Akatomba (Nishati - Ghana), Nalia Namboo (Sheria - Botswana),

  Antonie Chipumbu (Fedha - Msumbiji), Chirambo Ka***** ( Mazingira - Malawi),

  Rozia Kamkundu (Kilimo - Zimbabwe), Jaquiline Natombeka, (Utamaduni - Sauzi) Kazakuku Firafisi (Mipango - Japan).
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mh mi nimecheka hivi hawajui kiswahili hawa!!!
   
 3. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Mi simo, mapemaaaaa! Nasema simo.
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Duh haha haha nimejikuta nacheka tuu baada ya kusoma hayo majina, siku wakitembelea TZ sijui itakuwaje hahahha:lol::lol::lol:
   
 5. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Kumbe na huku mmeingia! Nitarudi baadae, sitaki kutafasiri majina ya hawa mawaziri kwanza fikiria baadhi ya majina ya kabila lako, yatafasiri kiswahili uone kama utaweza kumuita mwenye hilo jina, ntakupa mfano mmoja, kanda ya ziwa kuna jina la Makuma,
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nadhani James Kakuma atakua embarrassed sana aisee
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha mama halima mchuka (mtangazaji) ule mwaka kombe la dunia mpira wa miguu wakubwa ulipofanyika Japana Korea ya kusini iko siku alikuwa anatangaza mechi ya Japan na Italia nakumbuka alisema kuwa hawezi kuyataja baadhi ya majina ya wajapani kwani itamuaibisha!
   
 8. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,739
  Likes Received: 3,173
  Trophy Points: 280
  You have made my day nimecheka sana. Shukrani mtoa mada
   
Loading...