Hivi utani wa aina hii kwa Rais Museveni umekaaje?



Ina maana Mzee Museven ni mvumilivu kiasi hiki?
Huyo anaitwa "teacher mpamire" ni mwalimubna comedy wa Uganda..... Anamuigiza M7 anajulikana Kenya, Uganda, Rwanda, tz,Malawi,Kongo, Zambia na Sudan... Anavideo nyingi "YouTube" ambazo anaongea na M7 ana kwa ana...anapiga pesa na M7 anamualika kwenye mikutano yake ya kawaida na hata maalumu...."ujinga ni mzigo mkubwa kuliko ukoma"

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Professor Joel:D:D

Huyo kijana ni mwalimu,tena mwalimu mzuri sana na anapendwa sana na wanafunzi wake.
 
Unamzungumzia Boby Wine mkuu? Yule inasemekana wafuasi wake walilishambulia kwa mawe gari la M7 walipokutana kwenye wilaya moja wakati wa kampeni za uchaguzi wa mbunge wa jimbo hilo. Maaskari walimfata Wine hotelini wakampiga sana na kisha kumfungulia kesi
Yeah, ndio huyo, ila Bob Wine ni jina la kazi, ana jina lake rasmi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom