JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 551
Ina maana Mzee Museven ni mvumilivu kiasi hiki?
jamaa ana utani mbaya sana.Duh, kamtaja na Mzee wetu Magufuli...jamaa hamnazo sana huyu.
Huyo anaitwa "teacher mpamire" ni mwalimubna comedy wa Uganda..... Anamuigiza M7 anajulikana Kenya, Uganda, Rwanda, tz,Malawi,Kongo, Zambia na Sudan... Anavideo nyingi "YouTube" ambazo anaongea na M7 ana kwa ana...anapiga pesa na M7 anamualika kwenye mikutano yake ya kawaida na hata maalumu...."ujinga ni mzigo mkubwa kuliko ukoma"
Ina maana Mzee Museven ni mvumilivu kiasi hiki?
Cyo mvumilivu anamualika hadi ikulu ya Uganda.... Jamaa anahojiwa na vituo kama BBC na CNN na aljazeera kuhusu kuigiza huko anawajibu "M7 ni mtu poa sana"
Ina maana Mzee Museven ni mvumilivu kiasi hiki?
Na jamaa anacheka kwa utani wa hivyo?Hizi comedy anafanyaga mbele ya mseven mwenyewe na huwa zinamkosha sana.
using Jamii Forums mobile app
Na jamaa anacheka kwa utani wa hivyo?
Basi Museven ni kiboko.
Leo hii asubuhi nimeangalia YouTube utani huu mbele ya M7Hizi comedy anafanyaga mbele ya mseven mwenyewe na huwa zinamkosha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia YouTube M7 anacheka hadi anafuta machozi Anglia now kama una mbNa jamaa anacheka kwa utani wa hivyo?
Basi Museven ni kiboko.
Hakika jamaa ni noma, hamuogopi hata Prezidaa.
Professor Joel
Huyo kijana ni mwalimu,tena mwalimu mzuri sana na anapendwa sana na wanafunzi wake.
Ina maana Mzee Museven ni mvumilivu kiasi hiki?
Kama yule Mwanamuziki, somebody chabulani...Mu7 hua hana tabu kwa watu wanaomtania kama babu, yeye huchukulia wote ni wajukuu zake tu na wala hamaindi. Shida ni pale utakapofanya kitu kinachotishia usalama wa nafasi yake kama presidaa ndio utaujua mziki wake
Unamzungumzia Boby Wine mkuu? Yule inasemekana wafuasi wake walilishambulia kwa mawe gari la M7 walipokutana kwenye wilaya moja wakati wa kampeni za uchaguzi wa mbunge wa jimbo hilo. Maaskari walimfata Wine hotelini wakampiga sana na kisha kumfungulia kesiKama yule Mwanamuziki, somebody chabulani...
Mwambieni aje kwa Jambaka aone yatakayomkuta!!Hizi comedy anafanyaga mbele ya mseven mwenyewe na huwa zinamkosha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, ndio huyo, ila Bob Wine ni jina la kazi, ana jina lake rasmi.Unamzungumzia Boby Wine mkuu? Yule inasemekana wafuasi wake walilishambulia kwa mawe gari la M7 walipokutana kwenye wilaya moja wakati wa kampeni za uchaguzi wa mbunge wa jimbo hilo. Maaskari walimfata Wine hotelini wakampiga sana na kisha kumfungulia kesi