Hivi utachukua maamuzi gani kwa wewe mwanaume kwa jambo hili?

Kaka huna mke hapo. Huenda hata mimba si yako kama alikuwa anakupenda kwa kuogopa kugonganisha. Mi nakushauri tafuta binti mwingine kama una jia ya kuoa.
 
Hello JF

Hii inaenda Kwa Wanaume wote.. hivi Utachukua Uamuzi gani Pale Umeishi na Mpenzi wako kwa Takribani Miaka 6+ toka Mpo Secondary. Sasa mnaelekea kwenye Uchumba na inatokea Anapata Mimba Ila Wewe Bado Muda Kidogo umalize Chuo kama miaka Miwili... Yeye keshamaliza chuo kozi za miaka 3 na Amepata kazi na anapata Mshahara

Ila Mwenzako anafikia Hatua Ya Kuwa na Mawazo ya Kutoa mimba wakati una malengo naye Na Kwao wanakujua sema bado tu utambulisho Rasmi.. Unamsihi sana ila yeye Anakujibu Lazima aitoe hawezi Kukaa Na Mimba akaaibisha Nyumbani.....

Unamsihi sana kwamba itabidi mambo tuyaongee najua wazazi watakasirika ila Mie ndo nitakuoa usitoe mimba yangu ila majibu anayokupa kwamba Malengo yake hayajatimia bado hawezi beba Mimba.. Mara Home watamchukuliaje...

Mwanaume Huchoki kumbembeleza inafikia hatua Unamwambia Basi Zaa Tu Mie nitalea Kama malengo yako hayajatimia (ni kati ya wale wanawake wa mjini Naweza Sema katika kujiweka Vizuri kiuchumi na misemo ya o ya Mwanaume asikuendeshe)... Kila siku ilikuwa ni Vilio tu Kisa Hiyo Mimba hatulii Moyoni mwake mara Hataki kumwaibisha mama Yake kupata Mimba Before Ndoa.. Nikamwambia Kwahiyo Kuua Kiumbe Cha Mungu ni sawa Kuliko Kumuaibisha mama yako.. What if ndo Mungu akakujalia Uzao Huo tu maisha Yako yote...Ila Wapi mtoto wa Watu ni Vilio utadhani kapata Msiba.. ikafikia Kipindi ananitumia msg Anatoa Mimba Bora Tu afe ila Mimba Lazima aitoe.... Nikamwambia akiFanya Hivyo ajue upendo wangu Kwake Utakuwa Zero

Akaacha Kufanya Hicho kitendo kwa Mida Ila Baadae akili zikamruka sijui akarudia Tena Mambo ya Kutoa Mimba na Hapo Inakaribia Mwezi mmoja...

Siku Moja Sintoisahau Nikaja Kuambiwa Amepata Bleed usiku Na Akuniambia usiku huo ila Asubuhi yake ndo Akasema Amepata Bleed... Nikajiuliza Maswali huyu atakuwa Ametoa mimba Tayari..

Nikamchunguza Kwenye Simu yake alikuwa anauliza Google Dawa za Kutoa Mimba Mara Dalili za Mimba... Mara Pain After Abortion n.k

Kwa Kweli Toka afanye Hiki Kitendo Upendo wangu kwake Umepungua Sana Namuona Kama Mnyama... Namuona Kama ana Fake Promise Mtu ambaye nilijitahidi sana Asipate Mimba Kipindi cha Masomo Au secondary na Aliniahidi kuwa Hata kama akipata ataitunza Ila Keshageuka amekuwa Hivyo.. inauma sana Ila basi Mungu anajua
Wewe mwambie tu ukweli kuwa pengine huyo ndo mtoto pekee ambaye Mungu amemjalia na akimtoa atahangaika sana kutafuta mtoto na asipate
 
Dagh pole Sana wanawake niwanyama(mnisamehe lkin)
 
Sio mbaya sana maana mtoto mwenyewe angekuwa ni wa haramu bt usijali wanawake wengine ndo walivyo,sasa hapo ukimwambia kuwa Ww na Yy ndo basi naona atajiua kama kweli anakupenda kwa dhati
 
Hello JF

Hii inaenda Kwa Wanaume wote.. hivi Utachukua Uamuzi gani Pale Umeishi na Mpenzi wako kwa Takribani Miaka 6+ toka Mpo Secondary. Sasa mnaelekea kwenye Uchumba na inatokea Anapata Mimba Ila Wewe Bado Muda Kidogo umalize Chuo kama miaka Miwili... Yeye keshamaliza chuo kozi za miaka 3 na Amepata kazi na anapata Mshahara

Ila Mwenzako anafikia Hatua Ya Kuwa na Mawazo ya Kutoa mimba wakati una malengo naye Na Kwao wanakujua sema bado tu utambulisho Rasmi.. Unamsihi sana ila yeye Anakujibu Lazima aitoe hawezi Kukaa Na Mimba akaaibisha Nyumbani.....

Unamsihi sana kwamba itabidi mambo tuyaongee najua wazazi watakasirika ila Mie ndo nitakuoa usitoe mimba yangu ila majibu anayokupa kwamba Malengo yake hayajatimia bado hawezi beba Mimba.. Mara Home watamchukuliaje...

Mwanaume Huchoki kumbembeleza inafikia hatua Unamwambia Basi Zaa Tu Mie nitalea Kama malengo yako hayajatimia (ni kati ya wale wanawake wa mjini Naweza Sema katika kujiweka Vizuri kiuchumi na misemo ya o ya Mwanaume asikuendeshe)... Kila siku ilikuwa ni Vilio tu Kisa Hiyo Mimba hatulii Moyoni mwake mara Hataki kumwaibisha mama Yake kupata Mimba Before Ndoa.. Nikamwambia Kwahiyo Kuua Kiumbe Cha Mungu ni sawa Kuliko Kumuaibisha mama yako.. What if ndo Mungu akakujalia Uzao Huo tu maisha Yako yote...Ila Wapi mtoto wa Watu ni Vilio utadhani kapata Msiba.. ikafikia Kipindi ananitumia msg Anatoa Mimba Bora Tu afe ila Mimba Lazima aitoe.... Nikamwambia akiFanya Hivyo ajue upendo wangu Kwake Utakuwa Zero

Akaacha Kufanya Hicho kitendo kwa Mida Ila Baadae akili zikamruka sijui akarudia Tena Mambo ya Kutoa Mimba na Hapo Inakaribia Mwezi mmoja...

Siku Moja Sintoisahau Nikaja Kuambiwa Amepata Bleed usiku Na Akuniambia usiku huo ila Asubuhi yake ndo Akasema Amepata Bleed... Nikajiuliza Maswali huyu atakuwa Ametoa mimba Tayari..

Nikamchunguza Kwenye Simu yake alikuwa anauliza Google Dawa za Kutoa Mimba Mara Dalili za Mimba... Mara Pain After Abortion n.k

Kwa Kweli Toka afanye Hiki Kitendo Upendo wangu kwake Umepungua Sana Namuona Kama Mnyama... Namuona Kama ana Fake Promise Mtu ambaye nilijitahidi sana Asipate Mimba Kipindi cha Masomo Au secondary na Aliniahidi kuwa Hata kama akipata ataitunza Ila Keshageuka amekuwa Hivyo.. inauma sana Ila basi Mungu anajua
k
Pole sana ndugu msamehe na sahau
 
MIMBA SIO YAKO ALIJUA AKIZAA MIAKA YA MBELE ITALETA SHIDA NA KAMA UNAJITAMBUA HUYOSIO WA KUENDELEA NAYE TENA LA SIVYO UWE NA MATATIZO YA AKILI.....NA KAMA HUJAFANYA MAAMUZI MAGUMU BASI UMELOGEKAMKUU .......MTU ANATOA MIMBA NA UPO PAMOJA NAYE ...MIMB ASIO YAKO....AMKA SHTUKA .....
 
Hii kitu wakati sijaoa nilikuwa nikijiapiza kwamba mchumba akipata mimba, na akaitoa kwa makusudi, na wakati huo hana kipingamizi cha kuolewa kwa wakati huo, ndo utakuwa mwisho wa mahusiano yetu.

jaribu kuchunguza yafuatayo:
1. inawezekana hakupendi, hana future na wewe na soon atakutosa, hivo haoni sababu ya kukuzalia mtoto.. maana atakuwa amejifunga kwako mazima, kitu ambacho anaona hakina tija kwa sasa.
2. inawezekana amechepuka na akapata ujauzito, kwa sababu bado anakupenda anaona si sawa akusingizie mtoto ambaye si wako, hataki kukupoteza (japo amechepuka). anataka kujisafisha na kurudia njia sahihi, mpate watoto wenu halali.

ushauri wangu..
Ukishapa uhakika wa jambo la pili, piga kimya endelea naye au muache lakini ujue anakupenda kwa dhati, alipitiwa akachepuka.

Ukipata uhakika kwamba hakuchepuka, na mimba ilikuwa yako achana naye. hawezi kuwa mke bora. tayari kichwani mwake anaamini wewe si size yake. kuna mwanaume anawish kuwa naye tofauti na wewe. hivyo utaishi naye kwa shida sana kama ukichukua uamuzi wa kuendelea naye.

Kila la kheri mkuu.
 
Possibly alichepuka akapata mimba ya mtu mwingine ndio maana akang'ang'ania kuitoa, sio bure, kuna jambo hapo. Hakuna mwanamke asiyependa kuwa na mtoto as long umri umeruhusu na kipato kidogo anacho, tena kama ana mtu anaem support, huyo kakuchezea changa la macho. Achana nae huyo hafai kabisa
 
Back
Top Bottom