Hivi ushoga na ufisadi ni kipi hatari kwa maendeleo ya Afrika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ushoga na ufisadi ni kipi hatari kwa maendeleo ya Afrika?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Apr 10, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kama tutamia akili za kawaida vizuri bila kujali mashinikizo ya Masengeee wa magharibi walioko madarakani, duniani hakuna haki ya kujiharibu au kujikana kama wanavyofanya mashoga. Kama alivyowahi kusema comrade Mugabe mashoga na wasagaji ni wachafu kuliko nguruwe. Kimsingi hiki kinachofanyika ni ukoloni wa kimila ambapo tunaandaliwa kukubali uchafu huu. Wenzetu wameharibikiwa wanataka nasi tuharibikiwe kama wao. Hayo masenge unayoyaona wakati mwingi usiyalaumu. Kama wanaume kwa kisingizio cha usanii au usupa staa wanaweza kuvaa hereni na kutembea mitako nje kwanini na wengine wasiigize ushoga. Hata hivyo tukiangalia mambo bila makengeza. ushoga hauna madhara makubwa kwa watu wetu kama ufisadi na usanii wa kisiasa. Ushoga ni suala la mtu binafsi kutumia vibaya mwili wake tofauti na watawala wanaotumia raslimali za nchi vibaya. Heri ushoga kuliko ufisadi.
   
 2. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Unauliza swali halafu unajijibu mwenyewe, unaukandia ushoga na mashoga halafu mwishoni unaukubali; sasa nini madhumuni ya kuanzisha mjadala huu?
   
 3. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  vyote ni hatari.
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hivi mkuu chagua moja mtu akudhulumu mali zako au akupore mali na akushikishe ukuta kwako wewe ipi poa?
   
 5. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hakuna poa. Fight, objectively.
   
 6. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Vyote si hatari kwa uchumi Wa Africa, ni hatari kwa maadili na kumiheshimu Mungu.
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Duh, sasa tumefika pabaya, unasema hivyo mwanaume au? kazi kweli lweli. LUSINDE type.
   
 8. N

  Njaare JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Anipore kila kitu nawezavumilia ila ukita, Mh................!!!!!!!!!!!!!??????????????? Ushoga ni mbaya kuliko Kitu kingine chochote.

  Tatizo lingine kubwa kwa ushoga ni hii movement inayotaka kuwaelimisha watoto kuwa ni jambo zuri. Ufisadi kama ulivyo ujambazi watoto wanakua wakijua kuwa ufisadi ni kitu kibaya na hata wanapokuwa wakijaribu kufanya wizi na ufisadi mwingine wanafanya wakijua ni makosa.
   
 9. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mambo yote mawili ni mabaya sana na hatari kwa mtu mmoja-mmoja na kwa taifa pia.
  Hapo kwenye red, naona unajaribu kuhalalisha ushoga.

  Soma hapa:-

  01 Wakorintho 06:09-10 inasema hivi:-
  "9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
  10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi."

  Kumbuka, miji ya Sodoma na Gomora iliangamizwa kwa sababu ya ushoga. Usihalalishe ushoga kwa sababu yoyote ile.
   
 10. Al gator

  Al gator JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,033
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Mimi ninadhani mleta mada ni mwana harakati wa mashoga. In short bora taifa lenye ufisadi kuliko lililojaa mashoga.
   
 11. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo Tanzania ni bora kuliko Marekani, uingereza na Ufaransa?
   
 12. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ushoga ni hatari zaidi sababu Mungu anaweza akatulipua kwa moto taifa likabakia majivu lkn ufisadi tunaweza kuumaliza wenyewe kwa kuhakikisha tunapata viongozi waaminifu.
   
 13. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Ki kawaida huwa Hatulinganishi vitu visivyo fanana

  nadhani umeileta hii Hoja kuhalalisha hisia zako, Ok umeeleweka
   
 14. K

  Kariongo Senior Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana Tanzania sasa mashoga wamejaa, kwa sababu kila kona ni mada za ushoga, watu na..... Zao wanatetea, wanaona raha kushika ukuta na kubeba wanaume wenzao, achen udhaifu wa mioyo yenu. Mbona wanawake watamu jamani?
   
 15. papason

  papason JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  'wachomwe moto (tena wakiwa hai) adi wafe mashoga na mabasha wote kama mwenyezi Mungu alivyo washushia kipondo cha moto sodoma ma gomora'
   
 16. M

  MTU WA NJIA HII JF-Expert Member

  #16
  Mar 8, 2015
  Joined: Jun 18, 2013
  Messages: 237
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Vyote vibaya.Tanzania tunapashwa kupinga ushoga kwa nguvu zote.Biblia ni kitabu kinachojitosheleza,hakihitaji reference.Je watu wanajua Sodoma kwa sasa Mashariki ya kati inapatikana wapi?kwa sasa ni Dead Sea,ziwa linalotoa uvundo,Ziwa ambamo haishi kiumbe chochote.Unaweza pia kutandika mkeka juu ya uso wa Ziwa hilo ukalala.Ushoga ni utovu wa nidhamu kwa Mungu wa hali ya juu sana,ni kumvunjia Mungu heshima kupita kiasi
   
Loading...