Hivi Ushindi wa Mbunge Ukipingwa Mahakamani Yeye Anaendelea na Kazi Zake Kama Mbunge?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
WanaJF,
Kama mnavyofahamu, hivi sasa kuna maandalizi kwenye majimbo mengi ya kufungua kesi mahakamani kupinga ushindi wa wabunge waliotangazwa na NEC. Ninachopenda kujua ni je mbunge ambaye ushindi wake umepingwa mahakani ataendelea na kazi zake kama mbunge mpaka mahakama itengue ushindi huo, au itabidi asimame kwanza hadi kesi itakapokamilika?
 
Ataendelea na kazi bungeni unless mahakama ithibitishe kuwa hakushinda, na hapo mara nyingi huwa wanaitisha uchaguzi mpya. some of these cases can take years kwahiyo anaweza akaendelea kupeta kwa miaka hata minne
 
Ndio jina lake halisi. Hili la Makongoro ni la kusomea shule tu.

Yes, nami ndivyo ninavyoelewa. Hilo la Makongoro limetokana na "uchakachuaji" ili kutimiza matakwa ya kupata elimu tu. Jina lake halisi ni Mac Ongoro.
 
Yes, nami ndivyo ninavyoelewa. Hilo la Makongoro limetokana na "uchakachuaji" ili kutimiza matakwa ya kupata elimu tu. Jina lake halisi ni Mac Ongoro.
Wadau kama hii ni kweli na watu tunajua na evidence zipo kwanini hawa watu tusiwafikishe mahakamani, Mimi Taanzisha Mchango wa Kuchangia Kuwapeleka Mahakamani Viongozi Vihiyo; wanasheria wapo tunawatafuta na kufungulia kesi hawa watu.
 
Back
Top Bottom