Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
WanaJF,
Kama mnavyofahamu, hivi sasa kuna maandalizi kwenye majimbo mengi ya kufungua kesi mahakamani kupinga ushindi wa wabunge waliotangazwa na NEC. Ninachopenda kujua ni je mbunge ambaye ushindi wake umepingwa mahakani ataendelea na kazi zake kama mbunge mpaka mahakama itengue ushindi huo, au itabidi asimame kwanza hadi kesi itakapokamilika?