Hivi ushawahi kumuona mzungu chizi?

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,559
Katika pitapita zako nje na ndani ya Tanzania hivi ushawahi kumuona chizi la kizungu kama ambavyo machizi tunayoyaona mitaani kwetu huku?

Basi jua kwamba uchizi unatokana na clan history, ukiona mtu chizi ujue kwenye ukoo wao pia kuna mtu aliwahi kuwa chizi kipindi cha nyuma huko.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Wazungu hawana utajir wa misukule pia,
 
Mkuu wapo tena wengine sana. Wana hospital zao za vichaa kama mirembe.
Nakuhakikishia wapo sema wanawashika na kuwapeleka kwa sehemu husika.
Kuna wenzetu mpaka wanawafungia ama wana kambi zenye wenye ukimwi wanafungiwa huko huko.
Wako serious sana kuhusu afya ya Taiga lao sio Sir huku mzungu Anaingia bila kupimwa ngoma Anakuja kuua Dada zetu.
Kuna yule mzungu aliyetembea na Dada kama 300 Wa kikenya mkuu. Wengine wake za watu ,wachumba za watu na madenti.
Yaani Dada zetu hawnaa real love kutokana na umasikini wetu wakipata mzungu shobo nyingi na ulimbukeni wanajua wataosha sana mtaani kuwa wana mzungu Kumbe ni umasikini wetu.
Sijasahau jamaa wafuga fasta pia na bibi Wa kizungu.
Yaani umasikini ni mbaya sana na masikini ndo kazi sana kuingia mbinguni MIE nawaambieni.
So vichaa wapo
 
Katika pitapita zako nje na ndani ya Tanzania hivi ushawahi kumuona chizi la kizungu kama ambavyo machizi tunayoyaona mitaani kwetu huku?

Basi jua kwamba uchizi unatokana na clan history, ukiona mtu chizi ujue kwenye ukoo wao pia kuna mtu aliwahi kuwa chizi kipindi cha nyuma huko.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Sasa utamuona wapi km hujawahi fika ulaya umezoea kuona wazungu wasafiri sasa sijui unataka vichaa wasafiri...?

Kingine ukichaa ni magonjwa ya akili na kwa wazungu huduma za afya ziko juu wengi wanatibiwa na kupona ata wasipo pona wanathamini sana watu hivyo huwa wanawachunga sana. Hawa ruhusu wazurule hovyo.
 
Katika pitapita zako nje na ndani ya Tanzania hivi ushawahi kumuona chizi la kizungu kama ambavyo machizi tunayoyaona mitaani kwetu huku?

Basi jua kwamba uchizi unatokana na clan history, ukiona mtu chizi ujue kwenye ukoo wao pia kuna mtu aliwahi kuwa chizi kipindi cha nyuma huko.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Kuna factors nyingi tu za kupelekea Mtu kuwa Chizi na siyo kwamba wengine wanakuwa hivyo kwa sababu zako. Uvutaji wa Bangi Kupitiliza nao ni sehemu mojawapo.
 
Kwahiyo Ulaya hakuna hospitali za vichaa?
Wala madaktari wa vichaa?

Hizi kozi zipo Africa tu??
 
Back
Top Bottom