Hivi ushawahi kukutana na hii kitu

Nimecheka sana yani mkuu umesimulia kihisia sana, pole kwa yaliyokukuta, siku ingine ungeomba hata nauli kwa mtu wa pembeni, konda tena wa dar oyomiiii
Hahahahaa kaka......umepata hiyo idea kwa sababu umesimuliwa tu....lkn kwnye tukio....akili inapungua hata uwezo wa kufikiri..
 
Imenitokea week iliopita.

Nimetoka getting nikaenea stand kupanda daladala niende sehemu flani hivi.

Sasa gari imeondoka tuko katikati ya safari nastuka kuwa nimeacha wallet nyumbani, kwa hiyo nauli sina......

Konda alipofika kwangu nikaona Sina hata namna ya kumuelewesha kwamba Sina nauli, ikabidi niseme tu nimekaa vibaya ntakupa mbele....lakini kiuhalisia nimekaa vizuri tu comfortable.!

Konda akanichangamkia ""umekaa vibaya kivipi wakati ma***ko yote yapo kweny siti na umefungua dirisha unapata kiyoyozi, we broo vipi hebu nipe nauli bhana""

Gari zima wakageuka kuangalia Nani anaeambiwa hivo,,,,nilijiskia Soo kishenzi, lkn nikaona nisipaniki wala nin......nikajiinua kidogo ili nimwambie kwa sauti ya chini sikioni ""kaka bahati mbaya nimesahau nauli nifadhiri ndugu yangu""

Konda akawaka kwa sauti kubwa tofauti na nilioianzisha Mimi...
""""Afu nyie ndo wachawi mnaodharau kazi za watu, Kwanza mi siwezi kuwa na ndugu mshamba kama wew ambae anakumbuka kuvaa vizuri, ananyoa vizuri afu hana hata Mia mfukoni,,,,nyie ndo matapeli hapa mjini""""

Daaah basi gari zima wananiangalia mim....nilijiskia aibu sana...basi yule konda alinipa shombo nyingi sana......!!!!!

Mara ghafla """ Kwanza hebu simama hapo ushike bomba wenye nauli wakae..""" nikawa najivuta kidogo """we m""nge nimesema simama wenye nauli wakae....hii sio gari ya kuhudumia maskini na matapeli""

Wazeee hasira zilizonipanda baada ya kauli hiyo ni Mungu pekee ndo anaejua maana nilijikuta ghafla mwili unaanza kutetemeka na vidole vinaanza kujikunja taratibu kutengeneza umbo la ngumi.

Nikashika bomba huku gari ikiendelea na konda akianza kunitolea shombo mpaka baadhi ya abiria wakaanza kumwambie
""basi konda inatosha msamehe kaka wa watu, bahati mbaya haina mwenyewe mbona unamsema safar nzima"""

Konda """hamna bhna hivi vijamaa ndo vichawi vya biashara yetu, Kwanza usikute humu kaingia kuja kuibia watu,,,Kwanza nakushusha kituo Cha mbele mpumbavu wew.....unaleta dharau na masihara kwnye kazi za watu"""

Daaah basi nikiwa nimeshika bomba pale afu peke yangu gari zima wamekaa wananiangalia mim....akili ikaanza kuniambiaa "mpe ngumi janja""....""mchape moja ya maana amekufedhehesha sana"""

Jamaa alikua kama hatua nne mbele yangu, basi nikajisogeza taratibu ili nianze kuongea nae vizur kwamba kwa nn ameshindwa kunielewa na hata kama kashindwa kwa nin anitolee kauli chafu kiasi kile....
Nilijua tu lazma angejibu shombo na hapo ndo nikapanga kutimiza kile nilichokiskia kichwani kwangu kumrushia mangumi na mateke yasio na idadi.......
Basi nikamfikia nakumuuliza kistaarabu kabisa...
""Oya kaka Sasa hata kama Sina nauli kwa nin ufikie hatua ya kunitolea matusi kiasi hiki mwanangu!??""

Konda akaingia kwnye 18 zangu....."""acha umaku ww Yani nauli hujanipa afu unanipangia Cha kuongea,""""

Ndugu zangu,,,,nilirusha ile ngumi mpaka nikaskia kabisa joint ya bega imelia taaaaaaaaaaaaaahhhh,,,,,,gari zima likawaka kwa makelele na wengine wakisimama kuja kuamulia.....na hapo Sasa ndo nikawa nimejaa upepo kiukweli ukweli Sasa.......huku ubongo ukizidi kuongea na nafsi....""" Muongeze bhana unasubiri nin......ile nataka kumfata nimpe zingine gari ikasimama kwa ghafla basi sikushika popote ikasababisha nianguke...bila kudaka siti zile za pembeni ningetangulia kisogo.....!!!
Dereva akaja nae spidi lakin akaongea kistaarabu kwamba nishuke tu kwny gari,,,,abiria wakachachamaa kwamba konda kayataka yote hayo......Dada mmoja akaamua kutoa elfu tano yake kumpa yule dereva kama nauli yangu na hakuhitaji hata chenji......!!!! Basi baada ya mabishano ya dk kama nne hivi ikabidi dereva akubali...gari ikawashwa huku konda akiwa amekua mmpole kama pilitoni na safari ikaisha vizuri kabisa.......!!!

Nimekumbuka hili baada ya yule Dada alienilipia nauli kunitafuta mda huu kwnye simu tumepiga stori mbili tatu akanikumbusha kizaa zaa hicho huku akiwa anacheka kinoma.....
Kumbe alikuomba na namba ya simu pamoja na mihasira yako pale??!
 
Naomba Namba ya huyo Dada Msamalia Mwema Mkuu
Ntamwambia wewe ni Mdogo wangu
Nataka kumshukuru kwa Kumsitiri Mdogo wangu
 
siku nyingine ikiona umeacha nauli au huna kabisa basi likianza tu kwenda unamfata konda unamwambia taratibu tu "mwanangu nimesahau nauli naomba nisaidie" huwa wanaelewa sana
 
Duh
 
Nilimuomba mi mwenyew kwa lengo la kurudisha fadhira ntakapokua nimefika niendako.......nikamrudishia fadhira then tukawa tunaendelea kupiga stori za hapa na pale
Safi sana, dada zetu huwa wanapendaga sana mwanaume anaeishi kwenye uhalisia kama yaliyokutokea na ndiyo maana ikawa rahis akaukudhamini si umeona wanaume walikausha, halafu pia umeonyesha unaweza kuparangana vilovyo mdada anajua akiwa nawe ulinzi upo, yani kwa ufupi dada zetu wanapenda vitu vitu kama hivyo
 
Iliwahi kunitokea kama hii nikiwa nipo advance japo mimi sikukumbana msala wa konda.

Ilikuwa Siku ya pili ya sikukuu ya Idd, nilitumwa mbagala rng3 sokoni kwenda kununua kuku nikitokea nyumbani Chamazi, ilikuwa ni gari moja tu mpaka Mbagala nauli ilikuwa ni sh 400.
Nilitoka home na sh 1000 kama nauli na pesa ya kununulia kuku(sikumbuki ilikuwa shingapi lakini ilitumika yote kununua kuku).

So katika buku ya nauli nilitumia sh 400 kwenda na kubakiwa na sh 600 ( ambayo ni sh 100 na noti ya 500).

Sasa baada ya kununua kuku, kabla sijapanda gari nilitaka kuitoa ile 500 ili niiweke karibu maana nitakuwa nimeshikilia kuku so sikutaka kusumbuka.
Ile mia tano nilikuwa nimikunja na kuiweka kwenye vile vimivuko vidogo -vinavyo kuwepo katika mfuko wa mbele juu katika suruwali za jeans- (sijui wanaita vidosho).

Ile kuitoa hivi....aisee nilitoka na kipande, kipande kikabaki ndani ya mfuko, so nikawa najua siwezi kumpa hela hiyo konda lakini nikapanda gari hivyohivyo.

Kwenye gari konda akaanza kudai nauli sikuwa nikijua nitafanya nini, pembeni yangu alikaa mdada mwenye mtoto nikapiga hesabu kuwa nitamuomba anilipie, ubaya yule dada alishuka njiani kabla konda hajatufikia, akaja kukaa jamaa hivi amevalia official....nikaishiwa pozi.

Mara konda huyu anadai nauli yake, yule jamaa akatoa elfu tano wakati anarudishiwa chenji nikambabatiza kwa sauti ya chini bro naomba unilipie pesa yangu imechanika.

Yule bro alinilipia bila ya kuongea chochote, nikamshukuru na nikawa nimesevu hivyo.....sikuamini maana niliishiwa maarifa.
 
Nilikutana na moja hivi....jamaa anaombwa nauli na konda..jamaa akawa anasema amempa konda elfu kumi anaomba chenji..ulikuwa ni mzozo hadi wakaanza kukwidana...ikabidi dereva akapaki gari polisi..hapo hapo mi na dingi mmoja tukashuka na kusepa bila kulipa tukawaacha hapo...
hahahahahahahahhaha
 
Kuna watu mnadharau sana. Kakuomba nauli unamwambia umekaa vibaya, mara unnong'oneza huna nauli. Heshimuni kazi za watu, unadhani ungekuwa muungwana tangu mara ya kwanza hayo yote yangetokea!? Kuwa na Adabu na Kazi za watu.
 
Imenitokea week iliopita.

Nimetoka getting nikaenea stand kupanda daladala niende sehemu flani hivi.

Sasa gari imeondoka tuko katikati ya safari nastuka kuwa nimeacha wallet nyumbani, kwa hiyo nauli sina......

Konda alipofika kwangu nikaona Sina hata namna ya kumuelewesha kwamba Sina nauli, ikabidi niseme tu nimekaa vibaya ntakupa mbele....lakini kiuhalisia nimekaa vizuri tu comfortable.!

Konda akanichangamkia ""umekaa vibaya kivipi wakati ma***ko yote yapo kweny siti na umefungua dirisha unapata kiyoyozi, we broo vipi hebu nipe nauli bhana""

Gari zima wakageuka kuangalia Nani anaeambiwa hivo,,,,nilijiskia Soo kishenzi, lkn nikaona nisipaniki wala nin......nikajiinua kidogo ili nimwambie kwa sauti ya chini sikioni ""kaka bahati mbaya nimesahau nauli nifadhiri ndugu yangu""

Konda akawaka kwa sauti kubwa tofauti na nilioianzisha Mimi...
""""Afu nyie ndo wachawi mnaodharau kazi za watu, Kwanza mi siwezi kuwa na ndugu mshamba kama wew ambae anakumbuka kuvaa vizuri, ananyoa vizuri afu hana hata Mia mfukoni,,,,nyie ndo matapeli hapa mjini""""

Daaah basi gari zima wananiangalia mim....nilijiskia aibu sana...basi yule konda alinipa shombo nyingi sana......!!!!!

Mara ghafla """ Kwanza hebu simama hapo ushike bomba wenye nauli wakae..""" nikawa najivuta kidogo """we m""nge nimesema simama wenye nauli wakae....hii sio gari ya kuhudumia maskini na matapeli""

Wazeee hasira zilizonipanda baada ya kauli hiyo ni Mungu pekee ndo anaejua maana nilijikuta ghafla mwili unaanza kutetemeka na vidole vinaanza kujikunja taratibu kutengeneza umbo la ngumi.

Nikashika bomba huku gari ikiendelea na konda akianza kunitolea shombo mpaka baadhi ya abiria wakaanza kumwambie
""basi konda inatosha msamehe kaka wa watu, bahati mbaya haina mwenyewe mbona unamsema safar nzima"""

Konda """hamna bhna hivi vijamaa ndo vichawi vya biashara yetu, Kwanza usikute humu kaingia kuja kuibia watu,,,Kwanza nakushusha kituo Cha mbele mpumbavu wew.....unaleta dharau na masihara kwnye kazi za watu"""

Daaah basi nikiwa nimeshika bomba pale afu peke yangu gari zima wamekaa wananiangalia mim....akili ikaanza kuniambiaa "mpe ngumi janja""....""mchape moja ya maana amekufedhehesha sana"""

Jamaa alikua kama hatua nne mbele yangu, basi nikajisogeza taratibu ili nianze kuongea nae vizur kwamba kwa nn ameshindwa kunielewa na hata kama kashindwa kwa nin anitolee kauli chafu kiasi kile....
Nilijua tu lazma angejibu shombo na hapo ndo nikapanga kutimiza kile nilichokiskia kichwani kwangu kumrushia mangumi na mateke yasio na idadi.......
Basi nikamfikia nakumuuliza kistaarabu kabisa...
""Oya kaka Sasa hata kama Sina nauli kwa nin ufikie hatua ya kunitolea matusi kiasi hiki mwanangu!??""

Konda akaingia kwnye 18 zangu....."""acha umaku ww Yani nauli hujanipa afu unanipangia Cha kuongea,""""

Ndugu zangu,,,,nilirusha ile ngumi mpaka nikaskia kabisa joint ya bega imelia taaaaaaaaaaaaaahhhh,,,,,,gari zima likawaka kwa makelele na wengine wakisimama kuja kuamulia.....na hapo Sasa ndo nikawa nimejaa upepo kiukweli ukweli Sasa.......huku ubongo ukizidi kuongea na nafsi....""" Muongeze bhana unasubiri nin......ile nataka kumfata nimpe zingine gari ikasimama kwa ghafla basi sikushika popote ikasababisha nianguke...bila kudaka siti zile za pembeni ningetangulia kisogo.....!!!
Dereva akaja nae spidi lakin akaongea kistaarabu kwamba nishuke tu kwny gari,,,,abiria wakachachamaa kwamba konda kayataka yote hayo......Dada mmoja akaamua kutoa elfu tano yake kumpa yule dereva kama nauli yangu na hakuhitaji hata chenji......!!!! Basi baada ya mabishano ya dk kama nne hivi ikabidi dereva akubali...gari ikawashwa huku konda akiwa amekua mmpole kama pilitoni na safari ikaisha vizuri kabisa.......!!!

Nimekumbuka hili baada ya yule Dada alienilipia nauli kunitafuta mda huu kwnye simu tumepiga stori mbili tatu akanikumbusha kizaa zaa hicho huku akiwa anacheka kinoma.....
Point ya ku exchange namba na mdada hukutuambia.....but all in all mchakato ulikuwa tight pole sana....
 
Nimekushangaa nauli hujatoa na bado unakuwa mkali haikuwa sahihi kumbuka ile ni kazi ya watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom