Hivi ushawahi kukaa katika mahusiano na Mwanamke Mpaka mnapotezana haujui jina lake?

Applicant

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,962
1,746
Hii imenitokea, baada ya yule meanamke kufungiwa laini yake na NIDA mpaka leo simpati hewani kabisa.

Mtaa anaokaa naujua lakini ndio sijui hata nianzie wapi maana hata jina simjui, na naogopa kwenda kuuliza ulizia hovyo maana ni mke wa mtu.

Ila tutakutana tuu one day yes we shall meet again.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee unamoyo mgumu kweli,hata kipindi iki cha kukumbuka kifo na kufufuka kwa Yesu unawaza ngono
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom