Hivi Usalama wa Taifa ni nani hasa,maana watu huwaita Malaika watu.

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Ukweli ni kwamba wajomba hawa hutenda haki japo wanaishi kama upepo maana hawaonekAni,mpakA umri huu nilionao nawasikia tu kuwa wapo hata ofisi zao hazijulikAni,sifa hizi zinawafanya kuitwa Malaika wàtu nA kikubwa nasikia hawalali kuhAkikisha dunia I salama maana watu hawa utendaji wao hufanana kote duniani.pori tofauti nyani wa wale wale,
 
Kwa bongo hii ni rahisi sana kuwajua mbona wengi wao. Mimi nina jirani yangu alihamia maeneo nayoo ishi, yani hata wiki mbili hazikuisha nikamgundua
 
Umezidisha chumvi ila ukweli hawa jamaa ni wazalendo wenye mapenzi nidhamuna utii wa viwango vya juu katika utendaji kazi zao. Tatizo katika utii pale wanapo pewa amri ya kutekeleza yale ambayo ndivyo sivyo wanatii basi tu yaani shingo upande. Au wakatekeleza ndivyo sivyo.
 
Sio wote wazalendo wengine majinuni tu hata ukiwaona kwa macho. Wangekua wazalendo cement iaingepanda bei, wangekua wazalendo aman isingekuabya mashaka. Wale wa zaman ndio walikua wazalendo
 
waduanzi tu hao eti mpka Leo hawajabaini ni nani aliyemtandika lisu.
 
Na mimi ni wazamani lakini kwa mtazamo wa leo. Kwa hiyo zamani walishindwa mini wakati tukitumia majani ya mpapai kama sabuni ya kuoshea nguo na uji wa chumvi khalafu wa rangi ya binzari?
 
si ndiyo wale waliopigwa risasi na PZ kule tarime?
zamani niliwapenda sana hawa jamaa na JWTZ maana walifanya kazi kwa kulinda nchi na siyo chama.
Lakini siku hizi mmmhhhh!
 
Sifa ya malaika iko wapo hapo sasa
Orodha yao ni nao hao wana usalama.
  • Wana usalama mahali pa kazi.
  • Wana usalama uwapo bar na mchepuko
  • Wana usalama unapoingia gesti na mke wa MTU
  • Wana usalama unapomkwepa mdai
Sifa ya malaika iko hapo sasa
 
Ukweli ni kwamba wajomba hawa hutenda haki japo wanaishi kama upepo maana hawaonekAni,mpakA umri huu nilionao nawasikia tu kuwa wapo hata ofisi zao hazijulikAni,sifa hizi zinawafanya kuitwa Malaika wàtu nA kikubwa nasikia hawalali kuhAkikisha dunia I salama maana watu hawa utendaji wao hufanana kote duniani.pori tofauti nyani wa wale wale,

Aaaah achana nao hawana issue Mkuu
 
makilo,
waduanzi tu hao eti mpka Leo hawajabaini ni nani aliyemtandika lisu.
[/QUOTE]

makilo,
Lissu alijitandika ili aonewe huruma na DJ amwachie kiti
Ndukiii...................🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️ 🏃‍♂️
 
Ukweli ni kwamba wajomba hawa hutenda haki japo wanaishi kama upepo maana hawaonekAni,mpakA umri huu nilionao nawasikia tu kuwa wapo hata ofisi zao hazijulikAni,sifa hizi zinawafanya kuitwa Malaika wàtu nA kikubwa nasikia hawalali kuhAkikisha dunia I salama maana watu hawa utendaji wao hufanana kote duniani.pori tofauti nyani wa wale wale,
Wambea wanaofaidisha nchi kwa unoko wao.
 
Watoa kucha
Hawana sifa ya malaika( An Angel) hata moja
IMG_20191011_004613.jpeg
 
Back
Top Bottom