hivi unlawful detention unaweza pambana nayo namna gani?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,887
nilisikia hiki kisa watu wanasimuliana. mkuu wa mkoa kampigia sina mkuu wa idara bila mafanikio. kapiga mara nyingi sana. baadaye alivyompata akatuma wanausalama na yule mkuu wa idara akawekwa ndani siku tatu kwa kosa la kushindwa kupokea simu.

huko Arusha kunataarifa mkuu wa wilaya kamsweka ndani mwandishi wa habari.. Max alishikiliwa wakati kosa lingine lililokuwa linasubiri uamuzi wa mahakama.
naona kama watu wanashikiliwa kimakosa na hakuna lolote linalowapata wanaowashikilia. mtu anayeshikilia wengine kinyume na sheria anapaswa kuchukuliwa hatua gani?
 
Ninavyojua kuwa ukiprove mahakamani kuwa aliyekuweka ndani(i.e rc,d.c,w.eo,d.ed) kuwa alikuwa nje ya muda wa kazi,na pia alikuweka ndani kinyume na utaratibu,unaruhusiwa kumshitaki mahakamani!ebu tafuta kesi mbalimbali zinazohusu unlawful detention!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom