Hivi ungejisikiaje kama umenunua bia halafu ikipita nusu saa hujaimaliza unanyang'anywa na kuamrishwa ununue nyingine au upishe kiti wateja wengine?

Idea kaitolea Ghana
Hii ilianzia Kenya kuna wakili aliishtaki Safaricom na mitandao mingine...badae makampuni yakashtuka yakabadili wakati kesi inaendelea. So huyu wakili kapata idea Kenya, in other words wabongo ubunifu huo hatuna mpaka tukiona kwa wengine then nasisi tunaamsha popo
 
Kwa hili la kifurushi kutoisha muda wake itakuwa ni jero sms 5 mb 2 na dakika 3 mtandao wa mmoja. Laasivyo piga bila kununua kifurushi. Hata kenya walishusha idadi ya ofa na hata huku vilikuja hivyo vifurushi vinaitwa halichachi, halivundi
 
Daah hatari fire
 
Chukulia mfano umeenda bar, tena umelipa kiingilio, ukaagiza bia moja baridi kisha ukaanzwa kuinywa taratiiibu kwa raha zako, halafu baada ya nusu saa unaambia bia yako ime-expire kwahiyo tunaiondoa na unatakiwa ununue nyingine, la sivyo pisha kiti akae mtu mwingine.
Hilo linaweza likawa ni jambo la ajabu lakini hivyo ndivyo ilivyo kwenye mitandao yote ya simu, na tumezoeshwa kidogo kidogo hadi tumezoea na kuona hiyo ndio haki, wakati ukweli ni kwamba huu ni unyang'anyi na ujambazi na si haki kumpokonya mtu kitu alichokilipia in full!

Nimefarijika kusikia kuna wakili mmoja anafuatilia suala hilo, hivyo nikaona nitoe tu pongezi kwake na kumuonyesha supprt yangu nikiwa kama mmoja wa wanaonyang'nywa haki yao, hapa yenyewe nina kama MB 800 kwenye simu ila zimebaki dk 5 tu liexpire, hivyo naandika haraka kweli ili nipost kabla sijaporwa bando langu.
Sasa basi, uzi huu ukilata walau comment 20,000 na likes walau 10,000 nadhani tunaweza fika mahali.
============================

===============================
Mnataka watu wakose hela ya mboga
 
Kwa hili la kifurushi kutoisha muda wake itakuwa ni jero sms 5 mb 2 na dakika 3 mtandao wa mmoja. Laasivyo piga bila kununua kifurushi. Hata kenya walishusha idadi ya ofa na hata huku vilikuja hivyo vifurushi vinaitwa halichachi, halivundi
Tumia akili, tangu lini air time ikachacha?
 
Naunga mkono hoja..sisi wabongo waoga sana bei za vitu mbali mbali wafanyabiashara wanajipandishia tu wanavyotaka kiholela na watu wako kimya hakuna anaethubutu kuhoji wala kuchukua hatua..wenzetu wakenya huwezi fanya ujinga kama huu,Al bashir Omar ameng'olewa ikulu kwa bei ya mkate kuwa juu..sisi hapa bei ya unga haieleweki ukiamka leo iko hivi kesho imepanda bila maelezo yeyote tupo tupo tu tunaburuzwa kama manyumbu..

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
 
Hii ilianzia Kenya kuna wakili aliishtaki Safaricom na mitandao mingine...badae makampuni yakashtuka yakabadili wakati kesi inaendelea. So huyu wakili kapata idea Kenya, in other words wabongo ubunifu huo hatuna mpaka tukiona kwa wengine then nasisi tunaamsha popo

Hata simu zenyewe hazikuanzia Kenya au Tanzania, tuliiga. Sioni ajabu.
Tumuunge mkono huyu wakili.
 
Tumia akili, tangu lini air time ikachacha?
Inawezekana sijatumia akili. Ila nachojua salio la muda wa maongezi ndilo halichachi ila kifurushi itatokana na mkataba. Weka vocha iache kama ilivyo tuone kama itachacha. Kwa waliotumia simu kwa miaka ya 2009 kurudi nyuma watanielewa
 
Hii ilianzia Kenya kuna wakili aliishtaki Safaricom na mitandao mingine...badae makampuni yakashtuka yakabadili wakati kesi inaendelea. So huyu wakili kapata idea Kenya, in other words wabongo ubunifu huo hatuna mpaka tukiona kwa wengine then nasisi tunaamsha popo

Jamaa ameiga jambo zuri sana.

.........Wewe umekuja na ubunifu gani?
 
Inawezekana sijatumia akili. Ila nachojua salio la muda wa maongezi ndilo halichachi ila kifurushi itatokana na mkataba. Weka vocha iache kama ilivyo tuone kama itachacha. Kwa waliotumia simu kwa miaka ya 2009 kurudi nyuma watanielewa
Ndio maana tukasema contract law hairuhusu utapeli. Hakuna mkataba wa kumuuzia kitu mtu halafu akakilipia in full (100%) halafu ukamnyang'anye kisa hajatumia ndani ya muda flani, huo mkataba ni batili, by law!
 
usifananishe beer na vitu vya kipuuzi
Afute huu mfano toka lini bia tukaneng'eneka nazo?soda juice maji ndivyo vitu watu wana galagala navyo chupa au glass kwa masaa!ila gambe ni kama kupumua tu unaingiza hewa non stop
 
Mtu akianzisha mfumo wa malipo ya simu wa kulipia kadiri unavyotumia, kama LUKU, atachukua wateja karibu wote wa mfumo huu wa sasa.

Kuna rafiki yangu mmoja Mtanzania, alikuwa anakaa huku Marekani. Alikuwa ana safari nyingi za kurudi Tanzania, mara anakaa miezi mitatu, mara miezi sita.

Kwa hivyo hakutaka kuwa na simu ya kulipia kwa mwezi ambayo ina unlimited minutes/Mbs, akanunua simu ya kulipia huduma kadiri unavyotumia.

Ushindani wa kibiashara pamoja na muamko wa watumiaji unatakiwa kuweka changamoto hii katika mchakato wa kuanzisha huduma ya simu ya kulipia kadiri unavyotumia.
 
Back
Top Bottom