Hivi unawezaje kukataa ombi la uchumba bila kumvunja moyo sana mwenzio?

Mshukuru kwa upendo wake kwako...ila mueleze unakwama kwa sababu zako na sio yeye...yeye msifie kuwa ni mtu mzuri nk

Ila wewe ndo labda;hujatulia akili,hujamaliza masomo,hujapata kazi,una maumivu ya moyo unashindwa kupenda nk

Kikubwa usimfanye aone kukupenda wewe ni kosa/adhabu..mfano kumtukana ama kauli mbovu mf unaona una uwezo wa kunioa wewe?.!
 
wanawake wa .com mnaona mkiolewa mkiwa under 25 ni kama mnazeeshwa.

Endeleeni kujishaua tu, mtaishia kuwa masingo mama ilhali waoaji walikuwepo.

Halafu ukichunguza sana unakuta hakuna sababu ya msingi ya kukufanya usiolewe ukiwa na 20-25yrs.

Utakuta ni kudanga tu na kujifanya mnatafuta maisha huku mnachezea mikuyenge ya grade zote
 
Tatizo mwanaume akija na ombi la uchumba akiomba kukuvisha pete...ilhali hauko tayari kwa ndoa,utamwambiaje hapana ili bado akuone malaika?
Mwambie bado nakula bata a.k.a ujana.

Ila uwe makini usije kujutia kauli yako baadae.
Maana wenzako wanaitafuta hiyo bahati kwa maombi kanisani na kuvaa hirizi za waganga.

Fikiria zaidi ikiwezekana shirikisha ndugu wa karibu na rafiki zako.
 
Back
Top Bottom