MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Mimi nafanya kazi ya ulinzi naingia usiku tu kazini na naingia Mara mbili kwa wiki usiku na chuo ninacho karibu sana hapa je naweza soma hii kozi ? Maana naipenda sana .
Je ? Naweza kuwa na ingia SAA kumi na mbili jioni kazini natoka asubuhi naingia darasani ?maana chuo kipo karibu sana na eneo langu LA kazi au ukiwa chuoni hutsruhusiwa kutoka ?
Naweza pata chuo kwa matokeo haya ,physics, C,chemistry, C,biology, D,English, C,civics, B, mengine D na mathematics, F division three 23 mwaka 2010 naweza pata chuo cha serikali nikiapply mwaka ?
Naomba ushauri kwa wenye uzoefu maana nataka nijilipie karo kupitia kazi please msaada wa mawazo .