Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,402
- 58,951
Habari zenu wapendwa
Kama mjuavyo katika pilikapilika za maisha inaweza kutokea kwa bahati nzuri mwanamke na mwanaume mmekutana kimwili na kati yenu kukawa hakuna mapenzi au labda mmoja wapo kati yenu akawa na mapenzi kwa mwenzie na katika kukutana kimwili mkafanikiwa kutengeneza kiumbe.
Ikatokea wazazi wenu wakapata taarifa na walichoamua ni nyinyi kuoana ili mtoto atakapozaliwa awe familia iliyokamilika na taarifa ikawafikia walengwa na ikumbukwe hapo hamna mapenzi kati yenu.
Swali langu ni je! Utakubali kuolewa ama kuoa mtu usiyempenda kisa mtoto atakaezaliwa apate familia iliyokamilika?