Hivi unaweza kumvumilia mpenzi wako kwa hili?

Hapo dawa ni kwenda tu gengeni! Kanunue malimao, ndimu na ule udongo mwekundu. Ukifika home kaa mbele yao, halafu igiza kama mwanamke mwenye mimba vile!

Wakikuuliza kulikoni? Wafanyie hivi !! Haki ya nani hawatakuja tena kukusengenya.
 
Mpaka umeamua kujibanza ili kuwasikiliza mazungumzo yao basi ni vizuri kweli ukaacha haya mambo ya kidemu mkuu.

Labda Mkeo alikuona ulivyojibanza ndiyo akamwambia mdogowe huo Ukuda wako..
 
Hello,

Kila mtu anapitia magumu au amewahi kupitia katika mahusiano yake. Je, unaweza kuvumilia ukijibanza sehemu na ukasikia demu wako anaongea na mdogo wake wa kiume, na katika maongezi ukasikia anasema "na huyu shemejio mambo yake ni kama mwanamke mwenye mimba, ana mambo ya kidemu mno".

Je, utakausha?

Mkuu sasa hebu linganisha hilo na kumkuta mkeo yuko na jamaa kinyume na maumbile. Hapo kama kweli una mambo ya kidemu jaribu kubadirika, ni kuwa umemkera, kaeni muongee na pengine umuelekeze kwanini ulikuwa na mambo ya kidemu kwake.
Halafu acha anza mambo ya kiume hakikisha mpaka akalalamike tena kwa mdogo wake kuwa umezidi mambo ya kiume.
 
Back
Top Bottom