Hivi unaweza kumpata Mpenzi bila kutumia Fedha?

Wanafunzi gharama zao zinapanda kutokana na madaraja waliyopo. Sec.School cheap(just chips +kuku),chuo(undergrad) expensiv, chuo (postgrad) it's deadly!!!!!!!!!
 
Wanafunzi gharama zao zinapanda kutokana na madaraja waliyopo. Sec.School cheap(just chips +kuku),chuo(undergrad) expensiv, chuo (postgrad) it's deadly!!!!!!!!!

Umesahau wale wa primary nao ni pipi+chipsi kuku
 
Fidel unataka ku date na mie, umeniomba no yangu nimekupa then unibip? au hata huko tutakakoenda kwa ajili ya hayo mazungumzo hatutapata moja moto moja baridi?....angalau uwe na cha kuanzia....lol

ndo hapo nakwambia mkono mtupu haulambwi...alafu tatizo wanawake kila kitu mnategemea mwanaume ndo afanye nikikubip kosa.
 
Kwa hali ya sasa pesa inatangulizwa sana katika mapenzi japo kwa kununua soda au zawadi ndogo au kuweka Vocha kupiga simu.Unaweza kumpata mpenzi kwa sasa kwa kuongea tu bila kutumia fedha?

Inawezekana ila tatizo siku hizi tumegeuza pesa kuwa mbele ya kila kitu!
 
wapo unaweza kuwapata bila pesa, ila inategemeana na jinsi ulivyoongea, baada ya kumpata pesa sasa ndo inaanza kutumika bila hivyo shamaba litakushinga

mwanamke ni nguo mgomba kuupalilia
uko hapo
 
yaani nashangaa kweli mana hata hapa ofcn utackia ngoja nim bip boy/mr wangu anical nimuombe credoo, yaani me naona ni vitu vicvyo na umuhimu kabisa, mdada anafanya kazi yake nzuri tu na ana uwezo wa kuweka hata 50 tshs lakini utakuta anaomba kuongezewa credoo na boy/mr wake, mie nitaongezewa nikiwa mahali ambapo nimekwama kabisa kabisa vinginevyo mambo yangu ya cmu ni yangu mwenyewe labda mr ajickie kuninunuia, ndio mana watu kawa hawa Fidel anawashika mapembe....lol

Nyamayao, tatizo la baadhi ya wanawake ni kuwa tegemezi kupita kiasi! Sasa kama mtu ana kazi nzuri na uwezo wa kuihudumia simu yake ya nini kumsumbua bf au mme wake!? Haka katabia ka utegemezi uliopita kiasi ndio inayofanya baadhi ya wauname kutumia pesa kama urimbo!
 
kweli kabisa kaka, nashangaa kweli, hapa ofcn kuna mkaka amekatishwa tamaa kabisa na mchumba wake, mana asubuhi tu tunaingia mdada kasha beep kuomba credoo, na akicheleweshewa kdgo kanuna, na mbaya zaidi hata amwekee 10 tshs ataishia kubipiwa....
 
ndo hapo nakwambia mkono mtupu haulambwi...alafu tatizo wanawake kila kitu mnategemea mwanaume ndo afanye nikikubip kosa.

sio wanawake wote Fidel, kuna wanawake wanajitegemea vya kutosha, mie kwanza hayo mambo ya ku beep cyapendi kabisa! na wewe u beep ukiwa umekwama/shida ya credoo imekukuta mahali pabaya, sio u beep kumuuliza wifi "unatoka saa ngapi ofcn?"...lol
 
Umesahau kule upande wa 2 umesemaje?
Pesa zako ni zako mwenyewe unajua wanawake wengi wa Kiafrica ni tegemezi sana mimi nakupa credoo kama buku 5 kisha hapo hapo unanibip nakupigia unasema asante imeingia duh hahahaha
 
kweli kabisa kaka, nashangaa kweli, hapa ofcn kuna mkaka amekatishwa tamaa kabisa na mchumba wake, mana asubuhi tu tunaingia mdada kasha beep kuomba credoo, na akicheleweshewa kdgo kanuna, na mbaya zaidi hata amwekee 10 tshs ataishia kubipiwa....

Kama unampenda mfanyakazi mwenzio nyamayao mwambia atimkie mbele mbele huko hapo hakuna mchumba! 10,000tshs halafu ananibeep! no way!:confused:
 
Kaizer duh jamaa anatuma 10,000/= credit alafu yeye kwenye simu yake anaweka 500/= kajitahidi sana 1000/= noma sana mazee
 
Kaizer duh jamaa anatuma 10,000/= credit alafu yeye kwenye simu yake anaweka 500/= kajitahidi sana 1000/= noma sana mazee

Mkuu hiyo ni noma, utakuta yeye anaishia kubee wenzake tu! na mtu na 'heshima zake' , kumbe kuna kabinti kamemweka kati! daaamn izo biashara za ivo mbaya sana....
 
Mkuu hiyo ni noma, utakuta yeye anaishia kubee wenzake tu! na mtu na 'heshima zake' , kumbe kuna kabinti kamemweka kati! daaamn izo biashara za ivo mbaya sana....

hahaha nimewaona sana wazee wa design hii wengine yaani hao mabinti ni wajukuu zao kabisa utaona mzee pension yake anamalizia kwa vibinti kuna mzee kule kwetu kauza nyumba 10mil zimeshia kwa vibinti kibaya zaidi anashika pembe duh
 
Umesahau kule upande wa 2 umesemaje?
Pesa zako ni zako mwenyewe unajua wanawake wengi wa Kiafrica ni tegemezi sana mimi nakupa credoo kama buku 5 kisha hapo hapo unanibip nakupigia unasema asante imeingia duh hahahaha

Fidel ndio namaanisha hivyo, zangu ni zangu na kwenye matumizi ya cmu inahusu pesa yangu sihitaji yake....
 
Kama unampenda mfanyakazi mwenzio nyamayao mwambia atimkie mbele mbele huko hapo hakuna mchumba! 10,000tshs halafu ananibeep! no way!:confused:

kuingilia mapenzi ya watu aisee ni ngumu,na ctaweza kabisa! hata hivyo analalama tu lakini karidhika mana ni wachumba kwa 3yrs na cku zote anamuhudumia kwa hilo Kaizer....
 
kuingilia mapenzi ya watu aisee ni ngumu,na ctaweza kabisa! hata hivyo analalama tu lakini karidhika mana ni wachumba kwa 3yrs na cku zote anamuhudumia kwa hilo Kaizer....

hehehe ukimwambia tu jamaa atahisi unataka umzibie ridhiki mwache tu achunwe na kukamuliwa.
 
Jamani wenye habari watueleze,bila fedha hakuna mpenzi?Je zamani kulikuwa na fedha?Hata sasa huwezi kumpata mpenzi bila kutumia fedha?Utamaduni wetu umeanzaje?na unaelekea wapi kwamba sasa mpenzi fedha kwanza kwanini?Hakuna njia ya kurekebisha hii?
 
Kwa maelezo zaidi kuhusu dawa hii ambayo sasa inatumika rasmi nchini Malawi na pia imetumika kwa kutibu ngonjwa la malaria, magharibi mwa Kenya na sasa imezinduliwa nchini Africa kusini na Nigeria, tuma maswali yako kwa EAST AFRICAN SOLE DISTRIBUTOR ; Email dawamashariki@yahoo.com.
Dawa hii ambayo imetengenezewa nchini marekani inauwezo wa kumaliza virusi vyote ambavo viko kwenye damu.
Kwa wale ambao wanafuata maagizo vizuri dawa hii inamaliza virusi vya ukimwi mwilini kabisa kwa mda mfupi sana, mda chini ya wiki tatu.
Stock ambayo ipo sasa ni kidogo tu lakini ingine yaja kwa wale wanaotaka kwa haraka basi tuwasiliane kwenye email yangu.
waeleze na wengine na uokoe maisha.
Kama hayo ya kweli wajulishe Wizara yetu ya Afya ili ndugu zetu waokolewe katika mauti ya kupukutishwa na UKIMWI.
 
Back
Top Bottom