Hivi unashabikiaje Konde Gang?

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,793
2,000
Jina hili linawagawa mashabiki, alie/walio mshauri alitumie hawampendi jamaa huyu, bila shaka ni wamakonde wenzake!! '' kina somo ntonto wa nkuu wa nkoa wa ntwara!!
 

kacnia

JF-Expert Member
Sep 16, 2014
2,966
2,000
Watu wa aina yako ndio mnarudisha maendeleo nyuma, unashabikiaje label badala ya kile wanachokiimba? Uligraduate memkwa kweli?
 

Kingtox

Senior Member
Sep 13, 2021
104
250
Hakuna ukabira wowote kwenye hii label tizama aina ya wasanii waliomo ndani ya label je? wote ni wamakonde? Ni bora huyu mzale kuliko wale wazungu fake
 

Kv100

Senior Member
Apr 13, 2021
179
250
Hivi unashabikiaje Konde Gang wakati wewe ni kabila tofauti na hilo Means hata kabila lako ulikubalii

Then Me naona Jina Konde limekaa kikabila mno no swag at all

Konde Gang ni special kwa Wamakonde tuu
Branding ni tatizo sana Bongo. Hii ni taaluma lkn watu wadhani unaweza kuibuka na jina tuu ukatupa kwenye biashara.
 

Qwy

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
4,362
2,000
Konde music worldwide.. worldwide!
Nyakyusa music worldwide.. worldwide!
Chaga music worldwide.. worldwide!
Zaramo music worldwide.. worldwide!
Maasai music worldwide.. worldwide!

So what's the difference?
Ni label ya Wamakonde tu hata kama wana msanii ambaye si Mmakonde lakini Umakonde ndiyo msingi wake.
 

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
23,480
2,000
Wakianza ishi maisha yao.. Hakika watafika mbali..
Shida yao wanakopi ...

Cheki sasa wanavyoumbuka...
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom