Hivi unapohitaji uthibitisho wa kiwanja inachukua muda gani baada ya malipo mh Lukuvi tunahitaji msaada wako

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Wenye uelewa wa hili swala bahati mbaya niko mbali na mjini mpaka jumatatu.

Unapotaka kujua uhalali wa kiwanja cha mtu kuna malipo yanafanyika ili upewe barua.

Kiuhalisia wanachukua muda gani maana kuna usanii unatokea mkoa mmoja kaskazini sasa inaenda wiki ya pili na pesa zishalipwa na mhusika yupo anahitaji kupeleka hio karatasi sehemu kumekuwa kila siku porojo.

Mh Lukuvi awa wafanyakazi wa wizara yako huko mikoani tunaomba muwe mnawabadilisha wanazoea sana ofisi na ndio wanatuchafulia wizara yetu.
 
Back
Top Bottom