Hivi unapoambiwa utume CV mahali, ni lazima uiambatanishe na copy za vyeti

vizuri usome tangazo linataka uambatanishe na nini.so usome na kuelewa requirements to be attached.
 
Mkuu..ni vyema kuthibitishwa 'qualifications' zako kwa kuambatanisha na vyeti. Waajiri wengi ndivyo wanavyotaka.
 
Tangazi likisema cv tu wewe tuma cv na cover letter basi

Waajiri siku hiz wanaangalia vyeti ukishaqualify byeee:israel:
 
Back
Top Bottom