Hivi unapata wapi ujasiri wa kutembea/kulala na mke/mme wa mtu?

Huwa inatokea mkiwa na mazoea; au kama ni ex wako na mliachana bila ugomvi ila ni dhambi mbaya sana inayoleta mikosi ya kila aina na majuto ya muda mrefu hasa kwa mtu mwenye dhamira safi na anayejaribu kuishi kwa kumpendeza Mungu. Iepuke dhambi hii kwa gharama yo yote mkuu
 
Wanataka WENYEWE MKUU,, wengi wamechoshwa na NDOA... yupo MWANAMKE mmoja mke wa MTU NAMPAKUA,,,tena napewa vya UVUNGUNI...duu..ila ukishikwa JASHO LINAKUTOKA.....kuna siku NUSU NIFUMANIWE,,,KAMA SIO UJASIRI WA MKE BASI ingekuwa je sijuwi. MKE WA MTU AKINIOKOA NA FUMANIZI...
Habari wakuu
Hebu leo tujadili kidogo wakuu
Huu ujasiri wa mtu kutembea/kulala na mke au mme wa mtu unatoka wapi?
Najua majibu yatapatikana hasa ukizingatia jf Ni jukwaa lililojaa waungwana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah nimepata pa kushare lililo moyoni.

Huyu dada nimejuana naye muda ila hatukua na mazoea, mazoea yakaja wiki iliyopita nikaingia ndani kwake nikakuta drafti nikamuuliza unajua kucheza akajibu anajua.

Akatoa kete tukaanza kucheza. Nilienjoy ile moment, nikawa nimemfunga game nyingi kunizidi, nikamuambia mchezo huu hauniwezi akasema taja mchezo mwingine unaouweza nikamwambia naweza kucheza playstation 3 pes akajibu hata hilo naweza.

Tukaja mjengoni tukaanza kucheza game na ni anajua vizuri tu.

So hii wiki nzima imekua naenda kwake kucheza drafti tukimaliza anakuja kwangu tunacheza PES.
Nimejikuta nimependa akili zake, I mean a lady knows how to play PlayStation na anajua drafti what else naweza taka kwa mwanamke? Tako? Analo tena siyo dogo.

Basi nikiwa najiandaa kumake a move ndiyo najua kumbe kaolewa. Ila mumewe yupo nje ya Tz kwa sasa.

Hapa hata sijielewi. To be honest siogopi kula mke wa mtu ila I wanted this to be more than fvcking. Na hizi nyuzi za mke/ mume wa mtu, mara kufumaniwa na kupigwa zimekua nyingi ila hata kuzisoma sikutaka mpaka leo mchana.

So I guess nina kazi ya kumtafuta binti nitakayemfundisha hata PlayStation tu ili tuwe tuna moments zetu za kuconnnect.
Bro kaa mbali na huyo mwanamke
Hebu fikiria hivo unavofanya nae ingekua ni mtu mwingine anafanya kwa wife ungejisikiaje?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ni mwanajeshi alinisumbua kinoma ....mpka siku tulipigana biti kinoma ....ndo akawa mpole ...story ilikuwa hiv ...kipind nipo chuo pisi ilikuwa kali kinoma afu nikaskia inatoka na jamaa flani kolo hiv ..kwa kweli iliniuma Sana lkin nikasema poa ndo usenge wa mapenzi ka nyas tu yanaota popote...
Sasa siku moja yule manzi akaingia 18 zangu nikaanza muimbisha nikashangaa demu anaingia lain ...Sasa ktk kukoleza sounds nikamwambia yaani mwaka watatu tukifika mi nakuja leta barua kwenu..,.manzi aliruka foot 100 akasema mi Nina mkali home kwahyo Hilo halitawezkana.,.mhuni nikasema poa nikaanza itafuna ile pisi ,kumbe yule kolo alikuwa anazuga tu hatufuni Wala nn .....penzi likakolea Mimi mwenyew mtoto wa uswaz kukoleza upendo set up zake zote nazjua ....hapa namaanisha sio kukoleza kwa pesa ....no zle mbwembwe ambazo hufanya wakishua watuzimie .....tulipendana na yule manzi balaa ....hapa niwe muwazi kweli nilimpenda nayy alinipenda ....
Maana aliyokuwa anafanya juu yangu ilikuwa niupendo uliopitiliza Sasa nikigusia kwamba tuje tuish wote demu alikuwa anakosa raha ....balaa yaani ananiambia anatamani Sana ingkuwa hivyo ila Hilo cjui kama litatokea .....nikawa nabaki na maswali mengi kichwani huyu manzi kwann anakuwa hivyo lakin majib sijupata....
Bwana wee siku ya siku nachat na demu , wakat huo yupo likizo kumbe yupo na mchiz afu akanyang'a nya cm ya manzi tukawa twachat na mwamba ile romantic .....daa jamaa alifanya kosa akamwacha demu akaenda nunua vocha anipigie ....demu alichkua cm fasta nakuniandkia sms kuwa 'uliyekuwa wachat naye sio mim na jamaa angu wa hku home kaenda nunua vocha akupgie namba zake ni hiz pls naomba usipokee cm yake " .....kweli nilifata maelezo maana jamaa alipiga cm usiku kucha ....mchana pia hakukoma .....Sasa kama baada ya mwez jamaa akapiga nikasahu nilipokea daaaa jamaa alitema cheche balaa.,.jamaa alitaja vyeo vyake vya jeshin .....lakin niliweza mkabil na kumtuliza demu alivyorudi chuo ndo alizidisha mahaba .....kumbe jamaa alimkuta dem yupo fom three akaomba kwa mzazi wa manzi amsomeshe ili akimaliza atamuoa ....na alimwambia demu ukiolewa na mwingine ntawaua wote na mm kujiua ....tulipomaliza chuo tu demu alikaa mwezi jamaa akafunga harusi .,.demu nikamzimia data .....Sasa jamaa alipataga nafas ya kwenda kusoma coz nje .,.aiseee demu alifunga safari ya kutoka kigoma mpka mtwara nilimra week mbili mfulizo siku demu namsindkiza ctend alilia kama anamsiba ...watu walijua kafiiwa ....kumbe no .,

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah bro ulifanya kosa kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungekuwa maasai ungelewa ni ujasiri gani unakuwepo ndani yetu pale tunapoingia kwenye boma ya wenyewe alafu tunaweka mkuki mlangoni mengine yanaendelea ndani

kIongOzI Wa BaaDae
 
Daah bro ulifanya kosa kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa lipi mkuu ....kumla!?..... Of coz inazngua Sana .....tisa ni huyo 10 kuna mungine alikuwa amepanga kwenye ctoo yetu mumewe ckumjua .....sasa mazoea yakawaida tu ikaplekea kupata namba yangu .....demu kaumbika kinoma ......mtu kwelikweli ...siku moja kanitext vip mzima nikasema ndio nipo fine ....baada ya story mbil tatu kaniambia hujaonekana I wish nikuone ...nikajib mi nipo home mageton I mean....demu kasema ngoja nije nikuone nikajua anatania ....baaada ya dk 40 mtu anasema nimfika maeneo ya kwenu .....
Daaaa yaani yupo karib na home kumfata ni dk 3 tu ....ukichk time ni saa mbil kasoro ..... daaaa ile tumeingia ndani tu .,.. sentence ya kwanza ni mi nachlewa ....ikabid niptlize naye chumban nikamla akasepa ....akazoea mpka baadae bwana ake alimshtukia ...lakin jamaa kazama Sana yani hawez kumwacha demu .....siku jamaa alinipgia cm akataman kuuliza lakin akakusha ....nikagungua jamaa ni mnyonge Sana nilmuonea huruma Sana .....nafsi iliniuma nikagundua huyu dem analiwa Sana ....najamaa hana namna niliamua achana na yule manzi ...ckutaka kuwa sehem ya watu wanaomtesa Tena yule mwamba .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ni mwanajeshi alinisumbua kinoma ....mpka siku tulipigana biti kinoma ....ndo akawa mpole ...story ilikuwa hiv ...kipind nipo chuo pisi ilikuwa kali kinoma afu nikaskia inatoka na jamaa flani kolo hiv ..kwa kweli iliniuma Sana lkin nikasema poa ndo usenge wa mapenzi ka nyas tu yanaota popote...
Sasa siku moja yule manzi akaingia 18 zangu nikaanza muimbisha nikashangaa demu anaingia lain ...Sasa ktk kukoleza sounds nikamwambia yaani mwaka watatu tukifika mi nakuja leta barua kwenu..,.manzi aliruka foot 100 akasema mi Nina mkali home kwahyo Hilo halitawezkana.,.mhuni nikasema poa nikaanza itafuna ile pisi ,kumbe yule kolo alikuwa anazuga tu hatufuni Wala nn .....penzi likakolea Mimi mwenyew mtoto wa uswaz kukoleza upendo set up zake zote nazjua ....hapa namaanisha sio kukoleza kwa pesa ....no zle mbwembwe ambazo hufanya wakishua watuzimie .....tulipendana na yule manzi balaa ....hapa niwe muwazi kweli nilimpenda nayy alinipenda ....
Maana aliyokuwa anafanya juu yangu ilikuwa niupendo uliopitiliza Sasa nikigusia kwamba tuje tuish wote demu alikuwa anakosa raha ....balaa yaani ananiambia anatamani Sana ingkuwa hivyo ila Hilo cjui kama litatokea .....nikawa nabaki na maswali mengi kichwani huyu manzi kwann anakuwa hivyo lakin majib sijupata....
Bwana wee siku ya siku nachat na demu , wakat huo yupo likizo kumbe yupo na mchiz afu akanyang'a nya cm ya manzi tukawa twachat na mwamba ile romantic .....daa jamaa alifanya kosa akamwacha demu akaenda nunua vocha anipigie ....demu alichkua cm fasta nakuniandkia sms kuwa 'uliyekuwa wachat naye sio mim na jamaa angu wa hku home kaenda nunua vocha akupgie namba zake ni hiz pls naomba usipokee cm yake " .....kweli nilifata maelezo maana jamaa alipiga cm usiku kucha ....mchana pia hakukoma .....Sasa kama baada ya mwez jamaa akapiga nikasahu nilipokea daaaa jamaa alitema cheche balaa.,.jamaa alitaja vyeo vyake vya jeshin .....lakin niliweza mkabil na kumtuliza demu alivyorudi chuo ndo alizidisha mahaba .....kumbe jamaa alimkuta dem yupo fom three akaomba kwa mzazi wa manzi amsomeshe ili akimaliza atamuoa ....na alimwambia demu ukiolewa na mwingine ntawaua wote na mm kujiua ....tulipomaliza chuo tu demu alikaa mwezi jamaa akafunga harusi .,.demu nikamzimia data .....Sasa jamaa alipataga nafas ya kwenda kusoma coz nje .,.aiseee demu alifunga safari ya kutoka kigoma mpka mtwara nilimra week mbili mfulizo siku demu namsindkiza ctend alilia kama anamsiba ...watu walijua kafiiwa ....kumbe no .,

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi nawewe umeoa? Je mkeo unamwamini kiasi anaweza kutulia bila kuchepuka? Au unaishi naye roho juu juu!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
"🎼🎼 ni matamu kama mke wa baloziii, eeh aah ehh!!
🎼🎼
Walisikika wazee flan wakiimba huku wakipata kilaji
 
Mwanaume anae tembea na mke wa mtu ni mpumbafu na hana akili na siku akikamatwa wamfanye kama watakavyo.
Hawa watu ndio chanzo cha kuvunja ndoa za watu mwisho wa siku wanao umia ni watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na tulio kula bila kujua kama wapo kwenye ndoa tuna comment apa apa

SUBIRI KIDOGO
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom