Hivi unapata picha/taswira gani ukisoma majina ya members wa JF?

Mi majina ya member tu kwangu burudani. Wakiwemo:
Okwi baban sunzu, Babu wa kambo, Raisi2020, Milioni milioni, mzuri mie,. n.k.. Post nnazozikubali mara nyingi ni za mshana jr. na the Bold
 
Waungwana tukizingatia kuwa utafiti wa hivi karibuni umeeleza kuwa watanzania hatuna amani, na binafsi nakubaliana na utafiti huo maana kila kukicha afadhari ya Jana, sasa katika kuisaka furaha nimejikuta najiuliza swali hili, je unaposoma jina/username au pengine avata ya member hapa unapata taswira gani juu ya mtu huyo huku ukihusianisha na maada au michango yake hapa JF? Binafsi watu wafuatao kwa mfano nawatafsiri kwa namna zifuatazo;

1. General Galadudu
Mpenda michepuko na hasa wake za watu, we fuatilia mada zake.

2. Lizaboni
Huyu hajitambui na mlamba viatu vya wakubwa.

3. MSHANA Jr.
Mshirikina

4. Evelyn salt
Binti mrembo ila analugha ngumu kama mchimba madini.

5. Miss natafuta
Binti mashauzi wa jf.
6. Monica
Hajielewi na limbukeni wa mapenzi, mara kesho ndoa, mara shahawa zinaunguza duuuu.

Hao ndo baadhi ambao nikiona Nina tu napata taswira hizo juu yao, ongeza na wengine.

NB. Lengo ni kuondo stress za karibu mwezi sasa mara Bashite, mara Nape Mara vitisho duu bora tujijadili tu sasa unapata kondi kwa bando zangu halafu unipangie cha kupost.
Mkuu hapo namba 4
 
1. Numbisa
Atakua mtu wa pwani au maeneo ya Tanga, anaonekana muongeaji sana na mchambaji mzuri tu.

2. Mondray
Anaonekana disminder ila anaonekana kiumri bado mdogo sana.

3. Rayyoungr
Anaonekana anahusudu mapenzi ya jinsia moja.

4. Chief Engineer
Mshamba wa tendo la ndoa. Kila tukio lazima alete.

5. Jovitha
Anaonekana yuko faster kumuamini mtu. Ana mtindo akimquote mtu atamuita mama au jina lolote la kuashiria mna ukaribu.
 
Bado umemsahau mzee wa Like.
Yeye mada aijue asiijue, yeye ni Like
 
iyo ndo impact ya cybercrime law na bado uku tunakoenda tutavaa hadi mask barabarani
 
1. Numbisa
Atakua mtu wa pwani au maeneo ya Tanga, anaonekana muongeaji sana na mchambaji mzuri tu.

2. Mondray
Anaonekana disminder ila anaonekana kiumri bado mdogo sana.

3. Rayyoungr
Anaonekana anahusudu mapenzi ya jinsia moja.

4. Chief Engineer
Mshamba wa tendo la ndoa. Kila tukio lazima alete.

5. Jovitha
Anaonekana yuko faster kumuamini mtu. Ana mtindo akimquote mtu atamuita mama au jina lolote la kuashiria mna ukaribu.
Namba mbili na kuunga mkono
 
Back
Top Bottom