Hivi unamtoaje Israeli Patrick Mwenda na kumuingiza Beki mbovu Kibwana Shomary? Kwa hasira nashangilia Benin kwa sasa

Yani lile shambuliaji lilivoingia na ule mpira kwa staili ile,nami nikajua tu hili jitubaya pale haliwezi kukosa hata kidogo,ilionekana tu lile jitu lishazoea kufunga magoli kwenye ligi kubwa,niliona tu jinsi miondoko yake ilivyo ya kizoefu Mara likafumua kwa ufundi lile gozi,binafsi nimefurahi ule upigaji wa ule mpira ulioenda nyavuni,ijapokuwa inauma kupigwa...sisi kila siku tutakua ni watu wa kujifunza tu...
Hapo kwa mkapa inavyoonekana toka mama Samia aingie madarakani hamna kipa aliefungwa magoli mengi kama aishi manula
 
Kuna hawa vijana wawili waliingia mwishoni, akina Meshack

Km tukiwaamini wataaminika,

Mchezaji, unamuona tu anavyocheza unajua hapa hamna kitu
Yaan wachezaji wawili tu? Kikosi si kinapaswa kuwa kipana? Inatakiwa kikosi kiwe kizuri kiasi kwamba hata kocha hajui ampange nani amuache nani na siyo kuwaza tutapata wapi wa kucover namba fulani

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Wachzaji wa Benini ni warefu, kocha alitakiwa awapange wachezaji warefu hasa mabeki.

Kibwana Shomari ni mfupi mno,
Hebu fikirieni kama wachezaji wanatumia mipira juu, kona na krosi.
Ni bora namba mbili acheze hata Kennedi Juma.
 
Ni muda sasa wa kuwaona kina kelvin john,yohana mkomola na watoto wengine wakikipiga na hii timu ya wendawazimu....Samata hana faida kwa Taifa kama anacheza ulaya halafu haibebi timu bora wacheze watoto tu.
 
Wachzaji wa Benini ni warefu, kocha alitakiwa awapange wachezaji warefu hasa mabeki.

Kibwana Shomari ni mfupi mno,
Hebu fikirieni kama wachezaji wanatumia mipira juu, kona na krosi.
Ni bora namba mbili acheze hata Kennedi Juma.
Namba za pembeni anacheza mfupi au mrefu...unamjua Roberto carlos,Taribo west,Rafael wa Man Utd hawa walikuwa hawa kutani na timu zina watu warefu kama kina crouch?
 
Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo.

Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa nashangilia Benin. Mtu kama Feisal Salum ( Fei Toto ) anaharibu na Kurukaruka tu lakini hatolewi.

Nitashangilia Taifa Stars pale tu katika First Eleven wakiwepo Wachezaji wa Simba, Azam, Namungo na siyo wa Yanga SC ambao ndiyo Wametufungisha leo kwani hawajui Mpira.

Kocha Paulsen afukuzwe / aondoke.
Kwani mwenda ni nani asitolewe?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Namba za pembeni anacheza mfupi au mrefu...unamjua Roberto carlos,Taribo west,Rafael wa Man Utd hawa walikuwa hawa kutani na timu zina watu warefu kama kina crouch?
Acha kufananisha V8 na Vitz Kiuwezo sawa?
 
Wengine walishangilia eti tumeingiza wachezaji wengi,,,,,,Simba,,,,,,, nyoooo
 
Wachzaji wa Benini ni warefu, kocha alitakiwa awapange wachezaji warefu hasa mabeki.

Kibwana Shomari ni mfupi mno,
Hebu fikirieni kama wachezaji wanatumia mipira juu, kona na krosi.
Ni bora namba mbili acheze hata Kennedi Juma.
Kwahiyo lile goli lilikuwa kutokana na ufupi wa mabeki?
 
Namba za pembeni anacheza mfupi au mrefu...unamjua Roberto carlos,Taribo west,Rafael wa Man Utd hawa walikuwa hawa kutani na timu zina watu warefu kama kina crouch?
Kwahiyo unamlinganisha Roberto Carlos na Kibwana.
Vile ni vipaji maalum kama Messi. wafupi lakini ni watu special katika Soka.
Au umesahau Warefu Rivers United walivyokuwa wanapitia upande wake kirahisi.
Rudia kuangalia ile mechi.
Ingawa akicheza dhidi ya Simba anajituma sana sababu ya zile shilingi m15,000/=
 
Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo.

Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa nashangilia Benin. Mtu kama Feisal Salum ( Fei Toto ) anaharibu na Kurukaruka tu lakini hatolewi.

Nitashangilia Taifa Stars pale tu katika First Eleven wakiwepo Wachezaji wa Simba, Azam, Namungo na siyo wa Yanga SC ambao ndiyo Wametufungisha leo kwani hawajui Mpira.

Kocha Paulsen afukuzwe / aondoke.
Wewe nae akili huna boko toka lini alikuwa mshambuliaji mahiri?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom