Hivi unajua kuwa kumuogopa mtu ni sawa na ibada ya sanamu?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,645
35,976
Bila kujua watu wengi duniani , hususani Afrika au Tanzania wamejikuta wanafanya ibada ya sanamu bila wao kujua.

Mfano: Mtu amekuajiri na amekupa mkataba ambao utaonyesha majukumu yako na mipaka yako, lakini kwaajili ya udhaifu ulioko ndani ya moyo wako unajikuta unaanza kufanya majukumu ambayo si yako kwa kujipendekeza na woga.

Ule woga juu ya mwanadamu mwenzako ambaye atakufa na kuoza kama wewe hiyo ni ibada ya sanamu.
 
Hapana...hiyo siyo ibada ya sanamu...ni uoga Kama unavyoouita.

Nakama majukumu yako Ni kuosha vyombo siku ukiambiwa ufagie uwanja..na ukakubali huko ndo kuabudu sanamu?

Watiini viongozi wenu, mtii bosi wako fanya kazi zako pata ujira wako.

Mtaka TU kuleta ligi na ukorofi KILA sehemu Hadi sehemu zakazi.
 
Kwenye mikataba mingi ya ajira Kuna kipengele Cha Any other duty assigned by your supervisor... Kwenye JD.

Fanya kazi acha kubattle na viongozi wako...kwa hoja zako za kuabudu sanamu

K
 
Ungekuwa umecheza angalau scout ungejua kuwa kuna amri halali na amri isiyo halali. Sio kila jukumu unaweza kulifanya.
 
Kwenye mikataba mingi ya ajira Kuna kipengele Cha Any other duty assigned by your supervisor... Kwenye JD.

Fanya kazi acha kubattle na viongozi wako...kwa hoja zako za kuabudu sanamu

K
Pale walipoandika kuwa utafanya majukumu mengine utakayopangiwa haimaanishi kuwa all duties.
 
Pale walipoandika kuwa utafanya majukumu mengine utakayopangiwa haimaanishi kuwa all duties.
Sasa Kama unapingana na muajiri wako... kwanini usitafute sehemu nyingine ya kufanya kazi ...Au jiajiri TU Maana ...kuajiriwa ni kuwa chini ya mamalaka flani.... Mpaka kazi za kukupa unataka uchague...

Fanya mengine Mkuu...usije gombana na watu au ukakwaza Watu kwa Imani zako
 
Ungekuwa umecheza angalau scout ungejua kuwa kuna amri halali na amri isiyo halali. Sio kila jukumu unaweza kulifanya.
Sasa...Kama Mkuu kakupa maelekezo Wewe unasema haya sihalali...Ina Maana utakaa kufanya... Akikupa mengine utasema haya ni HALALI ntafanya.

Hiyo scout uliambiwa ukai implement Hadi kazini kwako.

Kama unaona eneo lakazi yako unaonewa au unaambiwa ukafue Chupi za boss wako nyumbani...Tafuta sehemu nyingine.. Kama Kuna uwezekano...

Kubattle na Mkuu wako wa kazi..mwisho wa siku utaumia Wewe.
 
Huna adabu na ajira wewe,,,,,,.

Watu wanakaa mpaka SAA 6 usiku kwenye biashara zao ila wewe ulieajiriwa ikifika SAA 9:00 mchana unapaki virago vyako unarudi hom kwa raha IPI uliyo Nayo? Alafu unalalama,,,,,,,, kuzidishiwa kazi ni kumuabudu mtu.

Huyo aliekupa kibarua halali kbsa,,, leo hii unaona unamuabudu.

Shame on you
 
Kwani wewe yule Bwana akija ofisini kwako hutamtetemekea? Kwa hiyo sisi wote tunamwabudu sanamu wa Chattle?
 
Back
Top Bottom