Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 9,872
- 8,892
Ikiwa sasa una miaka 25..wakati huo Mil. 8 itakuwa sawa na l?kitu... Bia nayo itakuwa inauzwa elfu 15 kwa chupa! Uliliangalia hili? Kuna watu hawajawahi kunywa Bia na ni masikini wa kutupwa...!!
Soma vizuri.
Issue ya umaskini wa kutupwa na alichoeleza jamaa ni vitu tofauti kabisaaa. Tuliosoma sayansi mashuleni kwenye uandishi na uelewa kwenye literature tunapata shida sana baadhi yetu tuliojifanya kuchagua masomo.
Mkuu soma upya utamuelewa Logic yake ni nini