hivi unajisikiaje ukiwa unacheki movie halafu.......

jamani niko na jamaaa mmoja hapa ni mgeni apa home ila inaonekana kaona movies nyingi kidogo
basi mkiangalia movie jamaa kama anaijua anaanza kuhadithia nini kitatokea... kwakweli mimi hili linaniboa sana
vipi wewe hua unafanyaje kama kitu kama hiki kikitokea manake jamaa ananiboa kinyama yani na ninashindwa kumwambia coz ni mgeni
Zima TV then mtoke nje.
 
advance coz yetu tulikua wachache sana hivyo tukawa mixed na other economics taker. siku moja mwl wao wa BAM (Bwe.ge Aliekimbia Maths) akawa anawafundisha dy/dx by first principle, akawauliza swal hata hajamaliza kuna jamaa mwan pure mwenzetu akamjibu fasta ticha ad last solution, ticha akasema ndo tatizo lakuangalia muvi na mtu aliyeiona!
 
inategemeana na mtu.. mbona lufufu mkandara huwa anawatafsiria from english/indian ama lugha nyingine ile na bado movie inapendwa na inaangaliwa na wadau wengi na kufurahiwa?

inaongeza utility pia....!
 
Weye mtu umeona movie agneepath? Must watch kama hujaona
 
inategemeana na mtu.. mbona lufufu mkandara huwa anawatafsiria from english/indian ama lugha nyingine ile na bado movie inapendwa na inaangaliwa na wadau wengi na kufurahiwa?

inaongeza utility pia....!

Kuna mija anatafsiri za kihindi anajiita juma khan muongo ajabu huwa anadanganya ila sie nyumbani tulikua tunaona funny uongo wake tunatizama maksud anavodanganya......
 
kweli kabisa sis.. kuna aina fulani hivi ya flavour ya kusimuliwa! unatamani uone in real kwa macho yako..

huyo jamaa bana lufufu, ni muongo ile mbaya!!!! yani anakudanganya live unaona!

imagine anakwambia eti mhindi anaongea kikurya ama kihaya!! unabaki tu kucheka na kutabasam.. all is well!

lakini siku hizi bana siwafuatilii sana hao.. iam grown up
 
Usinikumbushe Mbeya, kwenye banda la video akija mbabe kutoka Nonde Machinjioni anawalazimisha wote mfumbe macho, halafu yeye awe anasimulia anachokiona kwenye video. Ole wako akubambe umefumbua macho

bujibuji eh eh hiyo kali wangu nagonga laiki kwako
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom