atashukaje sasa? akiruka si atavunjika mgongo.
Uchochezi kwani wananchi hawana macho?Utasikia wanasema uchochezi huo!
Nguzo inalindwa na majeshi makali kabisa ya enzi za farao....Kwa nini wasitengue hiyo nguzo ili aanguke chini kwa aibu kuu
Kwa nini wasitengue hiyo nguzo ili aanguke chini kwa aibu kuu