Hivi unafahamu kwamba unaweza kuuza Kitu Ulaya bila kodi?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,784
Ndiyo, wewe kama Mtanzania kama ulikuwa haufahamu unaweza kuexport bidhaa yoyote ile EU isipokuwa silaha bila ya kulipa kodi yoyote ile huko bidhaa iendako, hivyo ni juu yako wewe kutafuta pa kuizuia tu!

Diaspora mko wapi? Kwa nini msitumie hii fursa?
 
wewe kweli jinga uwezi kusarisha mzigo kuja huku bila tax na nikuambie tu huku hata kama utaleta bidhaa kwanza lazima hiwe katika kiwango plus document.ni ngumu kuleta bidhaa ugaibuni.kwanza wewe ulishafika huko?huko hakuna ccm kwamba utaleta tuu bila kodi.

swissme
 
hata mmm namshangaa mleta mada amesema kifupi sana hajaeleweka halafu katuacha juani
njoo ufafanue hii uzi mkuu kwani wengi tunataka kusafirisha biadhaa na kuuza nje huko
 
Ndiyo, wewe kama Mtanzania kama ulikuwa haufahamu unaweza kuexport bidhaa yoyote ile EU isipokuwa silaha bila ya kulipa kodi yoyote ile huko bidhaa iendako, hivyo ni juu yako wewe kutafuta pa kuizuia tu!

Diaspora mko wapi? Kwa nini msitumie hii fursa?
Mimi nafahamu kuhusu Anglo America agreement ndio tuna fursa ya kupeleka bidhaa Marekani bila kodi, hili la Ulaya ndio nakusikia wewe hapa kwa mara ya kwanza.
 
Ni kweli kwa deals inawezekana Ila Ni illegal so hapo lazma ujifunze kubeba risk.
 
We gamba acha kukurupuka!usifananishe kila kitu na huko kwenu lumumba
 
wewe kweli jinga uwezi kusarisha mzigo kuja huku bila tax na nikuambie tu huku hata kama utaleta bidhaa kwanza lazima hiwe katika kiwango plus document.ni ngumu kuleta bidhaa ugaibuni.kwanza wewe ulishafika huko?huko hakuna ccm kwamba utaleta tuu bila kodi.

swissme
Tangu lini mtu wa ccm akawa timamu?
 
wewe kweli jinga uwezi kusarisha mzigo kuja huku bila tax na nikuambie tu huku hata kama utaleta bidhaa kwanza lazima hiwe katika kiwango plus document.ni ngumu kuleta bidhaa ugaibuni.kwanza wewe ulishafika huko?huko hakuna ccm kwamba utaleta tuu bila kodi.

swissme

Sina uhakika lakini inawezekana wewe ndio mjinga na sio huyo mleta mada!inawezekana wewe uko huko lakini hujui chochote,kwa taarifa yako tu ni kwamba kuna kitu kinaitwa Economic Partnership Agreement (EPA) ambacho nchi zilizopo jumuiya ya Africa Masharariki zinaibembeleza Tanzania iweke saini ili kuziwezesha nchi zote kuuza vitu ulaya bila kodi na wao kuuza vitu kwetu bila kodi.

Hata hivyo wazo hilo limekataliwa na Tanzania kwa kuwa sisi kama Least Developed Country (LDC) tayari tunaenjoys the "Everything but Arms (EBA) preference scheme" provided by the European Union i.e. we can already export duty-free and quota-free to the EU market without providing the EU with similar market access terms.

Kinachotukwaza tu kwasasa ni high standards ambazo ulaya wanazitaka katika bidhaa nyingi but kama Mtanzania unaweza kuzifikia hizi standards uko huru kucheza la soko la Ulaya kadiri utakavyo,Bahresa (SSB) amekuwa akiitumia hii fursa kwa kiwango cha juu wakati wewe unabaki ukipiga kelele hapa JF.
 
povu jingi lakini ni yaleyale unayarudia
.
swissme
 
wewe kweli jinga uwezi kusarisha mzigo kuja huku bila tax na nikuambie tu huku hata kama utaleta bidhaa kwanza lazima hiwe katika kiwango plus document.ni ngumu kuleta bidhaa ugaibuni.kwanza wewe ulishafika huko?huko hakuna ccm kwamba utaleta tuu bila kodi.

swissme
We uko chato,mambo ya nje ya usiyoyajua bora usiongelee,utajiaibisha.
 
Sina uhakika lakini inawezekana wewe ndio mjinga na sio huyo mleta mada!inawezekana wewe uko huko lakini hujui chochote,kwa taarifa yako tu ni kwamba kuna kitu kinaitwa Economic Partnership Agreement (EPA) ambacho nchi zilizopo jumuiya ya Africa Masharariki zinaibembeleza Tanzania iweke saini ili kuziwezesha nchi zote kuuza vitu ulaya bila kodi na wao kuuza vitu kwetu bila kodi.

Hata hivyo wazo hilo limekataliwa na Tanzania kwa kuwa sisi kama Least Developed Country (LDC) tayari tunaenjoys the "Everything but Arms (EBA) preference scheme" provided by the European Union i.e. we can already export duty-free and quota-free to the EU market without providing the EU with similar market access terms.

Kinachotukwaza tu kwasasa ni high standards ambazo ulaya wanazitaka katika bidhaa nyingi but kama Mtanzania unaweza kuzifikia hizi standards uko huru kucheza la soko la Ulaya kadiri utakavyo,Bahresa (SSB) amekuwa akiitumia hii fursa kwa kiwango cha juu wakati wewe unabaki ukipiga kelele hapa JF.
Yeah...nadhani hiki ndicho mtia mada alichokuwa anataka kuwasilisha, ila labda hakuwa na uelewa mpana zaidi kuhusu hili. Nadhani hili jibu likiongezwa pale kwenye maelezo yake litasiaidia wengi mkuu. Asante.
 
Back
Top Bottom