Hivi unafahamu kwamba Bia ina ladha sawa na Uke?

pH level ni ladha (taste)?
Soma hapa
2021-10-27-15-53-51.jpg
 
ka

kama inaingia akilini kiasi fulani maana watu ambao hawanywi pombe wanapenda sana hiki kilevi kingine ulichotaja.

leo ndo nimegundua kumbe wanapata madini sawa sawa

hahahhahahahahahahah
Unamaanisha wote Ni wanywaji TU tofauti yao Ni location?
 
Habari za muda huu wakuu,

Nikiongelea hii fact kwamba "BIA INA LADHA SAWA NA UKE"

Namaanisha ina ile ladha halisi (pH level) ambayo unahisi unapoionjafundo la bia kwa ncha ya ulimi wako.

Kama wabisha, nenda kajaribu

IMEKUAJE KUAJE IKAWA HIVYO?
Ipo hivi, kitaalamu mwili wa binadamu aliye hai una viungo viwili tu ambavyo Mungu amevitunuku uwezo wa kujifisha vyenyewe automatically mazingira yake yanapochafuka. Navyo ni jicho na uke.

Jicho ujisafisha kwa mfumo wa kutoa tongotongo na uke nao hujisafisha kwa mfumo wa kutoa uteute mweupe.

LEO TUTAONGELEA UKE
Ule uteute mweupe huwa ni mkusanyiko wa bakteria, fangasi na takataka mbalimbali kutoka mwilini.

Kinachosababisha ule uteute mweupe ni uwepo wa bakteria ukeni aliowaweka mwenyezi mungu mwenyewe wanaoitwa Lactobacillus, pamona na seli hai nyeupe za damu kupambana na magonjwa.

Bacteria hawa huzalisha tundikali inayoitwa lactic acid.

Tindikali hii huwa na PH Level ya 4.5 (ladha ya tindikali) ambayo huweka mazingira magumu kwa bacteria wengine hatarishi wa magonjwa kuishi mule na kuanzisha makoloni yao.

IMEKUAJE SASA IKAHUSIANISHWA NA BIA?
Kiuhalisia bia nayo ilivyotengenezwa imewekewa kinga hiyo hiyo aliyoweka Mwenyezi Mungu kwenye uke wa mwanamke.

Yaani watengenezaji wa bia ndani ya bia wamepandikiza lactobacillus bacteria ili kuzuia bakteria wa magonjwa wasitengeneze makoloni yao mule maana ndani ya bia kuna kimea (kimea ni kivutio kikubwa sana cha bakteria na fangasi kuweka makazi yao)

Hawa lactobacillus bacteria hivyo hivyo huzalisha lactic acid ambayo huwa na PH level ya 4.5 ili kutengeneza mazingira ya ulinzi kwa bia husika.

Hivyo, kwa mazingira ayo ya kua pH level sawia kabisa na kule ukeni.

Basi na ladha ya bia huwa automatically ni sawia kabisa na ladha inayopatikana kule ukeni.

Alamsik

View attachment 1988049View attachment 1988050View attachment 1988051View attachment 1988053View attachment 1988054View attachment 1988055
Mpuuzi wew umetumwaa nn
 
Sasa Mkuu mbona kuna wqnawake wanapata maambukizi ya bakteria ukeni, ina maana Muumba aliwwpunjapo hao bakteria? Sio fair kabisa alitakiwa kuwapa kwa usawa au wewe unaonajee Mkuu?
 
Ile Ni dhana TU iliyozoeleka kua kule ndani Kuna ladha ya chumvi chumvi.

Ila kiuhalisia hamna chumvi mle, Bali Kuna ladha ya tindikali ( acid).

Ukionja ukasikia Kuna ladha ya chumvi ujue iyo Ni mikojo TU, hapajasafishwa vizuri.
Mimi huwa nasema mule kuna ladha ya 'mayonaizi' potelea potee
 
Sasa Mkuu mbona kuna wqnawake wanapata maambukizi ya bakteria ukeni, ina maana Muumba aliwwpunjapo hao bakteria? Sio fair kabisa alitakiwa kuwapa kwa usawa au wewe unaonajee Mkuu?
Kila kitu kina kiasi chake,
Hata mwanadamu anazaliwa na KINGA ya mwili, ila Bado anapatwa na magonjwa.

Kwaiyo uwepo wa bacteria wale mle ndani hakuwezi kuguarantee 100% kua hawez pata magonjwa.

It's the matter of who wins the battle, IMMUNE SYSTER OR GERMS
 
-kwaio wanaume tunapata ladha sawa location tofauti

-If that's the case, BAC NA WATENGENEZE POMBE ZENYE LADHA YA UUME NA WANAWAKE NAO WAPATE HAKI YAO
 
Habari za muda huu wakuu,

Nikiongelea hii fact kwamba "BIA INA LADHA SAWA NA UKE"

Namaanisha ina ile ladha halisi (pH level) ambayo unahisi unapoionjafundo la bia kwa ncha ya ulimi wako.

Kama wabisha, nenda kajaribu

IMEKUAJE KUAJE IKAWA HIVYO?
Ipo hivi, kitaalamu mwili wa binadamu aliye hai una viungo viwili tu ambavyo Mungu amevitunuku uwezo wa kujifisha vyenyewe automatically mazingira yake yanapochafuka. Navyo ni jicho na uke.

Jicho ujisafisha kwa mfumo wa kutoa tongotongo na uke nao hujisafisha kwa mfumo wa kutoa uteute mweupe.

LEO TUTAONGELEA UKE
Ule uteute mweupe huwa ni mkusanyiko wa bakteria, fangasi na takataka mbalimbali kutoka mwilini.

Kinachosababisha ule uteute mweupe ni uwepo wa bakteria ukeni aliowaweka mwenyezi mungu mwenyewe wanaoitwa Lactobacillus, pamona na seli hai nyeupe za damu kupambana na magonjwa.

Bacteria hawa huzalisha tundikali inayoitwa lactic acid.

Tindikali hii huwa na PH Level ya 4.5 (ladha ya tindikali) ambayo huweka mazingira magumu kwa bacteria wengine hatarishi wa magonjwa kuishi mule na kuanzisha makoloni yao.

IMEKUAJE SASA IKAHUSIANISHWA NA BIA?
Kiuhalisia bia nayo ilivyotengenezwa imewekewa kinga hiyo hiyo aliyoweka Mwenyezi Mungu kwenye uke wa mwanamke.

Yaani watengenezaji wa bia ndani ya bia wamepandikiza lactobacillus bacteria ili kuzuia bakteria wa magonjwa wasitengeneze makoloni yao mule maana ndani ya bia kuna kimea (kimea ni kivutio kikubwa sana cha bakteria na fangasi kuweka makazi yao)

Hawa lactobacillus bacteria hivyo hivyo huzalisha lactic acid ambayo huwa na PH level ya 4.5 ili kutengeneza mazingira ya ulinzi kwa bia husika.

Hivyo, kwa mazingira ayo ya kua pH level sawia kabisa na kule ukeni.

Basi na ladha ya bia huwa automatically ni sawia kabisa na ladha inayopatikana kule ukeni.

Alamsik

View attachment 1988049View attachment 1988050View attachment 1988051View attachment 1988053View attachment 1988054View attachment 1988055
Kumbe siku hizi jf imejaa mataahira wanaotafuta kiki kwa kupost upumbavu kama huu? Unaweza kumwambia hilo mama au dada yako?
Halafu usivyojiamini, umeona wanawake ni weupe tu wakati mama yako aliyekuzaa ni kiwi? Kumbaff kabisa
 
Nyie ndo wale hamtakagi watoto wenu wafundishwe reproduction kisa TU inayaongelea maungo ya Siri.

Hebu relax mkuu, Achana na hizo dhana potofu.

Sio Lazima kila kinachoongelea sehemu za Siri ukihusianishe na Tendo la ngono au UZINZI.
 
Sasa Mkuu mbona kuna wqnawake wanapata maambukizi ya bakteria ukeni, ina maana Muumba aliwwpunjapo hao bakteria? Sio fair kabisa alitakiwa kuwapa kwa usawa au wewe unaonajee Mkuu?
Kuna muda wanaongezeka na kuna muda wanapungua kwa sababu mbalimbali ndio maambukizi yanapopata wasaa wa kufanya yake.
 
Habari za muda huu wakuu,

Nikiongelea hii fact kwamba "BIA INA LADHA SAWA NA UKE"

Namaanisha ina ile ladha halisi (pH level) ambayo unahisi unapoionjafundo la bia kwa ncha ya ulimi wako.

Kama wabisha, nenda kajaribu

IMEKUAJE KUAJE IKAWA HIVYO?
Ipo hivi, kitaalamu mwili wa binadamu aliye hai una viungo viwili tu ambavyo Mungu amevitunuku uwezo wa kujifisha vyenyewe automatically mazingira yake yanapochafuka. Navyo ni jicho na uke.

Jicho ujisafisha kwa mfumo wa kutoa tongotongo na uke nao hujisafisha kwa mfumo wa kutoa uteute mweupe.

LEO TUTAONGELEA UKE
Ule uteute mweupe huwa ni mkusanyiko wa bakteria, fangasi na takataka mbalimbali kutoka mwilini.

Kinachosababisha ule uteute mweupe ni uwepo wa bakteria ukeni aliowaweka mwenyezi mungu mwenyewe wanaoitwa Lactobacillus, pamona na seli hai nyeupe za damu kupambana na magonjwa.

Bacteria hawa huzalisha tundikali inayoitwa lactic acid.

Tindikali hii huwa na PH Level ya 4.5 (ladha ya tindikali) ambayo huweka mazingira magumu kwa bacteria wengine hatarishi wa magonjwa kuishi mule na kuanzisha makoloni yao.

IMEKUAJE SASA IKAHUSIANISHWA NA BIA?
Kiuhalisia bia nayo ilivyotengenezwa imewekewa kinga hiyo hiyo aliyoweka Mwenyezi Mungu kwenye uke wa mwanamke.

Yaani watengenezaji wa bia ndani ya bia wamepandikiza lactobacillus bacteria ili kuzuia bakteria wa magonjwa wasitengeneze makoloni yao mule maana ndani ya bia kuna kimea (kimea ni kivutio kikubwa sana cha bakteria na fangasi kuweka makazi yao)

Hawa lactobacillus bacteria hivyo hivyo huzalisha lactic acid ambayo huwa na PH level ya 4.5 ili kutengeneza mazingira ya ulinzi kwa bia husika.

Hivyo, kwa mazingira ayo ya kua pH level sawia kabisa na kule ukeni.

Basi na ladha ya bia huwa automatically ni sawia kabisa na ladha inayopatikana kule ukeni.

Alamsik

View attachment 1988049View attachment 1988050View attachment 1988051View attachment 1988053View attachment 1988054View attachment 1988055
Vip kuhusu dable kick??
 
Back
Top Bottom