Hivi unadhani kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume tofauti na zamani?

Kapyepye Mfyambuzi

JF-Expert Member
Jun 18, 2020
542
918
Habari wadau?

Husika na kichwa cha habari hapo juu. Napenda niende moja kwa moja kwenye mada.

Hivi unadhani kuwa ni kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiumee tofauti na zamani?

Yaani sasa hivi asilimia kubwa ya wanaume hasa vijana hawezi kufanya mapenzi bila kitu cha kuji-boost kidogo, kila mtu na cha kwake, wengine pombe wengine nawasikia wakisema alkasusu, ugoro, viagra, vumbi la congo n.k

Tatizo lipo wapi? Ni mfumo wa maisha, lishe (artificial foods not nature), mazingira, au mwanamke mkizoweana na nguvu zinapungua?

Mimi nina ushuhuda wa mzee mmoja ana miaka kama 70, ni jamaa yangu sana na ni mtani wangu pia. Siku moja nilimuona anaingia guest na kibinti (yeye kinamwita babu) kwa sababu ofisi yangu ipo karibu na hiyo guest waliyoingia. Nilishangaa Sana kwakuwa mke wake nae tunafahamiana, na ana watoto wakubwa tu aliozaa nae wanakizidi hata hicho kibinti alichoingia nacho nyumba ya wageni.

Mimi niliendelea na shughuli zangu, ikapita kama lisaa limoja na nusu nikawaona wanatoka akauchukulia boda huo mchepuko wake ukasepa. Aliponiona tu akashtuka akanifata nilipo, tukasalimiana akaanza kuniuliza huku anajishtukia, "Kumbe Ofisi yako huwa ipo apa?". Nikamwambia ndio mtani, naona leo ulikuwa matembezi kidogo!? Akasema, Ndio, najua umeshangaa kwa kilichotokea lakini sisi wote ni wanaume, kwaio yaishie hapa hapa. Nikamwambia mimi sipo hivyo mzee kuwa na amani.

Mzee wa watu akaanza kufunguka, akasema, "Unajua kijana wewe ni mwanaume kama mimi siwezi kukuficha. Mimi na mama yako huyo tuna miaka mingi mno, Sasa hivi imefika mahali jogoo hawiki ndani, na mambo hayaendi. Nikaona ili nijiridhishe kuwa nina tatizo au la, ngoja nijaribu nje ndio ntajua". Akasema kuwa yule binti niliye muona ni binti wa chuo, alijipendekeza siku moja akasema huyuhuyu ndio ntamfanyia practical.

Akasema tena kuwa walivyoingia tu chumbani yule binti alisaula nguo zote, na hivi alikuwa na rangi ya Kinyaturu, mzee alivyoiona tu mashine ya dogodogo mtambo ukaenda hewani wenyewe, bila hata ya kushikiliwa, na wakati kwa mkewe anasema mpaka waandaane lisaa zima na nusu napo kuingiza mpaka kwakuishikilia ndio inaingia ikiwa imetepeta. Mzee alisema alijihisi amekuwa kijana ghafla na alipiga zile shoo zake za miaka ile enzi za ujana wake, japokuwa ni kwa kujitutumua mno. Hapo mzee akasema kumbe tatizo Sio yeye tatizo ni mke wake".

Naishia hapo wadau.
Nini mtazamo wako?
 
NGUVU ZA KIUME ZA MAANA NI ZILE ZA KUKUWEZESHA KUTAFUTA PESA.HIZO ZINGINE NI KUJIPA STRESS TU
Lakini Mkuu kama mambo hayaendi vizuri ndani hata pesa hautoionea raha yake. Kuna matajiri huko mitaani wanaegegedewa wake zao Sio mchezo na pesa wanazo. So pesa Ina nafasi yake na Nguvu za kiume Zina nafasi yake.

Wengi walisema hivyo huku wakiamini kuwa pesa ndio kila kitu, mwisho wa siku penzi/ ndoa zao ziliishia pabaya. Kama Sio kusalitiwa ni kuachana au kufanyiwa mambo yaajabu. Kumbuka na mwenzio nae ni kiumbe, ana hisia pia, anatamani kuridhishwa kama wewe unavyoridhika. Ipo siku atajaribu nje, akikutana na wale mabaharia waliojitoa muhanga umekwisha.
 
Hayaaaa! kama mmeamua na uzee wenu muwe mnafia gest.... ongezeni speed.... maiti zenu zitatokea gest kwenda motual ndipo mrudishwe home kwa mazishi! Hiviiii msichoridhika vidume nyie ni nini??? mbona mnajitetea saaaana! kila kitu tatizo mwanamke!!! Jitambueni... umri umeenda rudisheni majeshi vitandani mwenu looooooooool
 
Kama mtu ananuka mdomo au ananuka kwapa, mikojo, anahofu ya kuwa pengine ninaefanya nae ni muathirika, njaa, kudaiwa madeni au kumdai mtu nk pia vinachangia mashine kutosimama vizuri
,, Lakini mapenzi ni usafi mkuu,, utafanyaje na mtu mchafu, au mwambie ukweli ukiona kuwa labda utamuudhi mnunulie pafyum, roshen, mafuta ya manukato mazuri yale unayopenda kuyasikia harufu yake kama ana akili yeye mwenyewe atajiongeza.

Wakati mwingine hata uchafu wa wanawake pia unachangia kwenye swala hili la nguvu za kiume. Unakuta mdada kipindi cha uchumba/ wakati unamtongoza alikuwa msafi mpaka mwenyewe unamtamani, muweke ndani sasa,,, akishakuzalia ndio balaa,,
 
Hayaaaa! kama mmeamua na uzee wenu muwe mnafia gest.... ongezeni speed.... maiti zenu zitatokea gest kwenda motual ndipo mrudishwe home kwa mazishi! Hiviiii msichoridhika vidume nyie ni nini??? mbona mnajitetea saaaana! kila kitu tatizo mwanamke!!! Jitambueni... umri umeenda rudisheni majeshi vitandani mwenu looooooooool

Ng'ombe hazeeki maini.

Alisikika shuhuda mmoja akisema, "Mwanaume huwa hazeeki ng'o, anaezeeka ni mwanamke".
 
Mimi ngoja niomgee kwa picha
Halafu majumuisho utafanya mwenyewe
21812897ee2f00ebdf41de900461ddb8.png
594278a5967a2c5604fa998ada1e57aa.png



Part II

4582200af0e4427331fed3c52443a0c4.png
f08466afdccaf723f24170980a4d55c2.png



Part III

8539f3c458845c6afe1ad277772de15b.png

Samahani kutumia brand ya peps. Nimetumia kuwakilisha vinywaji vingine
 
Mimi ngoja niomgee kwa picha
Halafu majumuisho utafanya mwenyewe
View attachment 1681210View attachment 1681211


Part II

View attachment 1681212View attachment 1681213


Part III

View attachment 1681215View attachment 1681216
Samahani kutumia brand ya peps. Nimetumia kuwakilisha vinywaji vingine
Asante sana mkuu. Nimekuelewa vizuri sana, Sasa tunapokuja kwenye hili swala la kuzoweana mmeishi muda mrefu, mmesha zaa, inafikiaga kipindi wanasema mke unamuona kama dada yako vile. Hata kama akisaula nguo zake zote chumbani huku unamuangalia kitu haikusimami, lakini ukimuonea mdada wa watu kwa bahati mbaya, labda nguo imemdondoka au imepulizwa na upepo wakati anatoja kuoga ukaona tu lile paja kwa juu kidogo, mishipa yote inasimaa. Hii unaiongeleaje mkuu.
 
Kufia gesti ni ushujaa vitani, one soldier down!

Swaaafi kabisa! Kuna ushujaa wa aina nyingi...
Askari amepambana vitani akafia nchi yake ni shujaa wa vita
Mzinzi amepambana na uzinzi ujana wake wote akafia Gest kinenani ni shujaa wa uzinzi
Kibaka/Jambazi amepambana kwa hali zote mwisho akauwawa akiwa kazini ni shujaa wa ujambazi

Kila mapambano yana shujaa wake! Kazi ni kwako... jiulize wewe ni shujaa wa nini...... Papuchi, Dyuuuduuu, kazi, ............
 
Back
Top Bottom