Hivi UN inashindwa nini kuitambua Palestina kama nchi huru?

Hivi huwa mnaandika mkiwa Bar mnakunywa au ndio kujitoa tu ufahamu makusudi? UN haijawahi saidia sehemu zenye vita???? Mnasikitisha sana labda mmezaliwa mwezi huu au yawezekana ulikiwa jail miaka yako yote so hujui vita zinamalizwa na nani zikitokea duniani
Imemaliza vita, migogoro,kuna usawa duniani? Hebu nipe mfano
 
Basi kwanini waarabu wasiwe na organization yao na kuisaidia ili ijikwamue iliko na kujulikana?
Arab league na OIC si ziingilie kati

Je, Zanzibar ni huru?? Mbona UN hawaingilii na huhoji??

Spain vs Catalunya

Morocco vs Western Saharan

China vs Hongkong

WHERE IS UN??
 
Arab league na OIC si ziingilie kati

Je, Zanzibar ni huru?? Mbona UN hawaingilii na huhoji??

Spain vs Catalunya

Morocco vs Western Saharan

China vs Hongkong

WHERE IS UN??
Ndio maana kwangu naona UN ni kama dalali tu,hana faida yoyote ya uwepo wake.
 
Back
Top Bottom