princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 7,553
- 14,381
Muda wote yuko jikoni mpaka chakula kinanuka ndevu Afu uolewe na mtoto wa mama utajua hujuiYakobo alikua mtoto wa mama mda wote anadeka na ukimya ndio maana mamake akampenda sana
Muda wote yuko jikoni mpaka chakula kinanuka ndevu Afu uolewe na mtoto wa mama utajua hujuiYakobo alikua mtoto wa mama mda wote anadeka na ukimya ndio maana mamake akampenda sana
Aise kumbe tuko wengiNdugu yangu wa kwanza alipendwa sana,na wadogo zangu pia,mie nilikuwa nachukuliwa kama mtu bwege bwege hv,na kilichoniuma ni wazazi kuona ni kitu Cha kawaida kunitamkia kuwa mie ni mjinga mjinga,kubwa jinga huku wanacheka,wakichukulia kama utani,kitu kibaya kikifanyika,wa kwanza kushukiwa ni mie,hii kitu iliniuma sana na inauma sana mpaka leo,matokeo yake nilianza kujenga roho ya kuwa independent nikiwa mdogo sana,nikaona hapa kitu pekee Cha kuniokoa ni kitabu,nilisoma sana hakuna aliyeweza kunifikia kwa uhodari kwa ndugu zangu,nilibamiza mitiani na ndugu zangu hakuna aliyeweza kuwa na mafanikio ya kitaaluma kama Mimi.
Tumeishakuwa watu wazima,lakini kwa madhara yale ya kubaguliwa nikiwa mtoto huwa Sina uchungu na mapenzi kwa wazazi kabisa,mpaka wenzangu huwa wanashangaa,nikisikia mtu anasema anampenda mama yake kuliko kitu chochote,huwa nashangaa sana,sasa hv nimeishakuwa mzazi najitahidi sana kuonyesha mapenzi Sawa kwa kila mtoto wangu,kila mtoto Nampa nafasi ya kuwa anavyotaka yeye sio kulazimisha awe kama wenzie.
Kuna wakati unapitia mambo magumu mpaka unajiuliza , hivi nina wazazi kweli?Ndugu yangu wa kwanza alipendwa sana,na wadogo zangu pia,mie nilikuwa nachukuliwa kama mtu bwege bwege hv,na kilichoniuma ni wazazi kuona ni kitu Cha kawaida kunitamkia kuwa mie ni mjinga mjinga,kubwa jinga huku wanacheka,wakichukulia kama utani,kitu kibaya kikifanyika,wa kwanza kushukiwa ni mie,hii kitu iliniuma sana na inauma sana mpaka leo,matokeo yake nilianza kujenga roho ya kuwa independent nikiwa mdogo sana,nikaona hapa kitu pekee Cha kuniokoa ni kitabu,nilisoma sana hakuna aliyeweza kunifikia kwa uhodari kwa ndugu zangu,nilibamiza mitiani na ndugu zangu hakuna aliyeweza kuwa na mafanikio ya kitaaluma kama Mimi.
Tumeishakuwa watu wazima,lakini kwa madhara yale ya kubaguliwa nikiwa mtoto huwa Sina uchungu na mapenzi kwa wazazi kabisa,mpaka wenzangu huwa wanashangaa,nikisikia mtu anasema anampenda mama yake kuliko kitu chochote,huwa nashangaa sana,sasa hv nimeishakuwa mzazi najitahidi sana kuonyesha mapenzi Sawa kwa kila mtoto wangu,kila mtoto Nampa nafasi ya kuwa anavyotaka yeye sio kulazimisha awe kama wenzie.
na watoto wa mama mda wote kudeka ukimnyima papuchi anaenda kukusemea kwa mamakeMuda wote yuko jikoni mpaka chakula kinanuka ndevu Afu uolewe na mtoto wa mama utajua hujui
Yes nahitaji sanaJe unahitaji mtoto?
Hilo ni swala halikwepeki maana hata huyo mtoto ndio huonyesha interest wazi hata nikija mfano nyumbani hunikimbilia na kunipokea kwa furaha huku wengine wako busy na mambo yao, watoto huji feel bad kama unakuwa na vitu unakuwa unampa mtu mmoja huku unaacha wengine to me huwa nafanya equality kwa wote bila kupendelea yoyote so hata wao hujua Sina shida, and I love them all but one of them ni my favorite sana na wao wanajua kabisa huniambia rafiki yako au pacha wako huyoNdiyo ni kitu kizuri ila haipaswi tu kuonyesha interest zako wazi wazi unawaumiza hawa wengine wanakuwa wana feel ignored..!!
😂Watoto na wazaz wa siku mmekaa kindez ndez kijinga jinga..Et mtoto anakua hayuko sawa kisa hajaonyeshwa upendo..upumbavu huu wenu mnaojifanya wasomi..et na wewe umeambiwa tu "i was nit their best....blah blah" ukajiskia vibaya..au ni kingereza ndio kilikuchanganya?? Pumbavu sana huv nyie vitoto mngekulia kwenye family zile za kizaman tulizokulia sisi si mngekufa before age?? Na kwa mind set hii no wonder mnatengeneza kizaz cha kishenz na nyie watoto mnajiweka near poverty line... wakongwe wenzangu wanalijua hili. Kwenye family mko watoto 18 huo muda wa kuonyeshana upendo unatoka wapi?au wewe kama mtoto huo muda wa kuchunguzwa unapendwa au hupendwi unautoa wapi?? Na sometimea watoto wengine wanalelewa katika mazingira kabisa akijua hapendwi ila ndio inampa changamoto ya kujipambania na kujisimamia na kujitetea dhidi ya uonevu toka kwa wenzake....
Achen watoto kuwalea katika namna ambayo watashindwa kujisimamia hala baadae wajifiche kwenye kivuli hicho cha " nilikua sipendwi".
Endeleen tu kutengeneza kizaz cha kishoga shoga wapuuz nyie...
Yeah ukweli anapata mapenzi yote kutoka kwa baba na mama, na hata wakiondoka leo basi watamwacha pazuri ila mimi i really find it difficult kuwa na mtoto mmojaAhsante C'ssy kwa mfano mzuri kabisa, na I just can't imagine huo upendo aliokuja kupata mtoto wa aunt..! Maana kama auntie yako alipendwa sana, otomatik anakuwa na ujazo flani hivi wa upendo wa kutosha yaani na wote anammwagia the only child, uwwiiiih'.!
na watoto wa mama mda wote kudeka ukimnyima papuchi anaenda kukusemea kwa mamake
Uzungu ukiwa mwingi inakuwa shida....Watoto na wazaz wa siku mmekaa kindez ndez kijinga jinga..Et mtoto anakua hayuko sawa kisa hajaonyeshwa upendo..upumbavu huu wenu mnaojifanya wasomi..et na wewe umeambiwa tu "i was nit their best....blah blah" ukajiskia vibaya..au ni kingereza ndio kilikuchanganya?? Pumbavu sana huv nyie vitoto mngekulia kwenye family zile za kizaman tulizokulia sisi si mngekufa before age?? Na kwa mind set hii no wonder mnatengeneza kizaz cha kishenz na nyie watoto mnajiweka near poverty line... wakongwe wenzangu wanalijua hili. Kwenye family mko watoto 18 huo muda wa kuonyeshana upendo unatoka wapi?au wewe kama mtoto huo muda wa kuchunguzwa unapendwa au hupendwi unautoa wapi?? Na sometimea watoto wengine wanalelewa katika mazingira kabisa akijua hapendwi ila ndio inampa changamoto ya kujipambania na kujisimamia na kujitetea dhidi ya uonevu toka kwa wenzake....
Achen watoto kuwalea katika namna ambayo watashindwa kujisimamia hala baadae wajifiche kwenye kivuli hicho cha " nilikua sipendwi".
Endeleen tu kutengeneza kizaz cha kishoga shoga wapuuz nyie...
Shida sana mkuu.Uzungu ukiwa mwingi inakuwa shida....
ni kweli lakini kama unavyojua, katika kila kitu negative kuna kitu positive cha kuchukua. Mimi ilinibidi nichukue every lesson na imenisaidia, siwezi kusema haikuniathiri ila imenijenga pia kwa kiasi flani japokuwa watoto wengi wa namna hiyo huishia pabaya kwa kutafuta belongingness nje ya familia
Aiseeee iinaiskia kwako
Karibu kwa huduma.Yes nahitaji sana
Karibu kwa huduma.
Kweli alikuwa mtoto wa mama kwasababu kila kitu alikuwa anafundishwa na mama yake. Alikuwa hawezi kujiratibu mwenyewe. Sasa my dear, mbona PM umefunga? Kila nikijaribu wapiii....I promise you (In Haji Manara's voice), you won't regret knowing me...sijisifii, ila i am a gentleman. Wala siwezi kukutongoza, I just want someone to talk to, ndo mana hata najiachia humuYakobo alikua mtoto wa mama mda wote anadeka na ukimya ndio maana mamake akampenda sana
hyo ya haji manaras voice vepeeKweli alikuwa mtoto wa mama kwasababu kila kitu alikuwa anafundishwa na mama yake. Alikuwa hawezi kujiratibu mwenyewe. Sasa my dear, mbona PM umefunga? Kila nikijaribu wapiii....I promise you (In Haji Manara's voice), you won't regret knowing me...sijisifii, ila i am a gentleman. Wala siwezi kukutongoza, I just want someone to talk to, ndo mana hata najiachia humu
Kilichomtoa Simba ni ugomvi wake na Babra, sasa alituma audio clip mitandaoni kumchamba Babra, kuna kipande kwenye hiyo clip anamwabia Babra, "I promisee you" ...kwamba atamkomesha..hyo ya haji manaras voice vepee