Hivi umeshawahi kutongoza mtu kwa ajili ya ku-update swaga?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Sam taim wanaume wa kweli tunamsaundisha mtu kama sehemu tu ya mazoezi ya mdomo.

Afu cha ajabu sasa, watu wa aina hiyo ambaye hujampenda kwa chochote, ila unakuwa unamtongoza tu kwa lengo la kuweka sawa silaha zako, hawa huwa hawakataagi.

Ni kama mfano tu kama tuonavyo kwa wanajeshi, polisi, wachezaji wa mpira, wapiganaji n.k

Mazoezi ni muhimu kwa mwanaume. Kutongoza kuna raha yake jamani.
 
....picha linaanza nimekaa kweny maskani na wasela wangu bodaboda tunapiga story za mpira akapita demu alikuwa mweusi black asilia sura sio nzuri ila bonge la wezere nikamchek wajshaji wakawa wanasifia wezere hila walikuwa wanamponda ni mbaya kweli alikuwa mmbaya sema umbo zuri nikawaambia ngoja nikatest kurusha ngojera wahuni kwa kushabikia ujinga nenda mwana hata akichomoa roho haiumii nikazima mmea wangu nliokuwa nikivuta nikaweka kwenye shati nikamfata

nilikuwa sijatokea manzi almost mwezi nikasema ngoja nijaribu zari nikawa namfuata nyumanyuma bidada simama basi unajua nilikuwa nakufuata toka kule nyuma akashangaa nikaendelea na swaga zangu akacheka maruweruwe niliokuwa nikiongea nikaomba namba akanipa wahuni wakaona nilivorud nikawadanganya kakubali baadae mchana nikamtext nikajitambulisha nikamkumbushia ombi hakajibu kitu kesho yake jioni ikaingia text "g my love mbona umenichunia " na muhuni nilishampotezea nilitongoza tu nitest swaga plus shinikizo la wahuni

bi mama akanielewa ila kweny kichwa hayupo nikawa najilazimisha kukutana nae mabusu ya uongo tu daah nilijuta kichizi alikuwa akipenda sana kuja getho tena hadai nauli anafua ,anapika ,anafanya usafi pamoja nilikuwa simpendi sikuacha kumtafuna maana ningewashangaza mabaharia yule mtoto alinielewa sana nisipojibu text au nisipokea alikuwa anaumia sana hadi anakuja utaskia G nakupenda usiniumize nini unataka uamini nakupenda namwambia kaa wiki ghetto na Mimi anakaa akitoka job anafikia kwangu namkosea ananibembeleza

daah kwa nzia hapo nikasema sitongozi kimasihara au Ku update swaga tena pumbavuu najikuta naumiza watu
 
ila nimemuonea huruma huyo manzi
 
ila nimemuonea huruma huyo manzi

hata Mimi mkuu maana nikimuacha inafikia kipindi anapungua mpaka na mawazo analia mi naamua kumrudia kumuonea huruma baadae nilivyopata transfer ndo ikawa ticket ya kumchomoka nikadanganya ntarudi nilivyosepa ndo ikatoka mazima hio ndo ilikuwa salama yangu
 
Oa huyo anafaa kukulelea wajukuu zako
....picha linaanza nimekaa kweny maskani na wasela wangu bodaboda tunapiga story za mpira akapita demu alikuwa mweusi black asilia sura sio nzuri ila bonge la wezere nikamchek wajshaji wakawa wanasifia wezere hila walikuwa wanamponda ni mbaya kweli alikuwa mmbaya sema umbo zuri nikawaambia ngoja nikatest kurusha ngojera wahuni kwa kushabikia ujinga nenda mwana hata akichomoa roho haiumii nikazima mmea wangu nliokuwa nikivuta nikaweka kwenye shati nikamfata

nilikuwa sijatokea manzi almost mwezi nikasema ngoja nijaribu zari nikawa namfuata nyumanyuma bidada simama basi unajua nilikuwa nakufuata toka kule nyuma akashangaa nikaendelea na swaga zangu akacheka maruweruwe niliokuwa nikiongea nikaomba namba akanipa wahuni wakaona nilivorud nikawadanganya kakubali baadae mchana nikamtext nikajitambulisha nikamkumbushia ombi hakajibu kitu kesho yake jioni ikaingia text "g my love mbona umenichunia " na muhuni nilishampotezea nilitongoza tu nitest swaga plus shinikizo la wahuni

bi mama akanielewa ila kweny kichwa hayupo nikawa najilazimisha kukutana nae mabusu ya uongo tu daah nilijuta kichizi alikuwa akipenda sana kuja getho tena hadai nauli anafua ,anapika ,anafanya usafi pamoja nilikuwa simpendi sikuacha kumtafuna maana ningewashangaza mabaharia yule mtoto alinielewa sana nisipojibu text au nisipokea alikuwa anaumia sana hadi anakuja utaskia G nakupenda usiniumize nini unataka uamini nakupenda namwambia kaa wiki ghetto na Mimi anakaa akitoka job anafikia kwangu namkosea ananibembeleza

daah kwa nzia hapo nikasema sitongozi kimasihara au Ku update swaga tena pumbavuu najikuta naumiza watu
 
Hizi mambo siyo fresh, hatujaumbwa sawa mnavyotufanyia siyo poa. Hata kama mtu ana sura nzito lazima anakitu chake utakikubali tu. Hizi za kutongoza kutest mitambo hakiii siyo nzuri mnatuumiza mno.

Unatest mitambo kwenye moyo wa mwezio halafu ukizingatia sa hivi ni kama janga vile ,wadada wako na sura nzuri na wenye sura nzito ngoma droo! Hutongozwi wala nini, wala huolewi akitoka mtest mitambo unatumbukia balaaa lake anakuumiza.

Ngekuwa na uwezo ningetengeneza detector ya kutambua watest mitambo! Mnaumiza sana
 
Mi nilishawah tena kwa demu wa mshkaj wangu hadi sasa siamin kama amenikubalia mpka nimle,hajawah niona wala sijwah muona bali mwana alinipa namba zake tu,
 
Mnaojifunza huu mchezo wa wanaume kwanini mnapenda kuja kusemea hukuj,acheni uvulana vaeni uanaume.
 
Oa huyo anafaa kukulelea wajukuu zako

tatizo sura ni ya baba ake ataharibu watoto wangu wakike hadi wajukuu nikimuoa daah ila yule demu nuksi alishawahi kuja ghetto nikaomba gemu alikuwa bleed akakataa nikakasirika nikamtimua hakuondoka kwenda kwake akakaa hapo nje hadi mvua imemnyeshea anagonga mlango analazimisha kuingia ananiambie basi g nimekubali fungua
 
Hizi mambo siyo fresh, hatujaumbwa sawa mnavyotufanyia siyo poa. Hata kama mtu ana sura nzito lazima anakitu chake utakikubali tu. Hizi za kutongoza kutest mitambo hakiii siyo nzuri mnatuumiza mno.

Unatest mitambo kwenye moyo wa mwezio halafu ukizingatia sa hivi ni kama janga vile ,wadada wako na sura nzuri na wenye sura nzito ngoma droo! Hutongozwi wala nini, wala huolewi akitoka mtest mitambo unatumbukia balaaa lake anakuumiza.

Ngekuwa na uwezo ningetengeneza detector ya kutambua watest mitambo! Mnaumiza sana

ndoa bwana kama utani mama una minya minya nyanya unanunua biringanya
 
tatizo sura ni ya baba ake ataharibu watoto wangu wakike hadi wajukuu nikimuoa daah ila yule demu nuksi alishawahi kuja ghetto nikaomba gemu alikuwa bleed akakataa nikakasirika nikamtimua hakuondoka kwenda kwake akakaa hapo nje hadi mvua imemnyeshea anagonga mlango analazimisha kuingia ananiambie basi g nimekubali fungua
mh! kweli wewe baharia. Hadi mwezini unaomba game!
 
Sam taim wanaume wa kweli tunamsaundisha mtu kama sehemu tu ya mazoezi ya mdomo.

Afu cha ajabu sasa, watu wa aina hiyo ambaye hujampenda kwa chochote, ila unakuwa unamtongoza tu kwa lengo la kuweka sawa silaha zako, hawa huwa hawakataagi.

Ni kama mfano tu kama tuonavyo kwa wanajeshi, polisi, wachezaji wa mpira, wapiganaji n.k

Mazoezi ni muhimu kwa mwanaume. Kutongoza kuna raha yake jamani.
Uwa natest sana mitambo kwa watoto wakali na ninawapata. Uwa hawakatai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom