Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,377
- 217,441
Bado sijaelewa kisa cha Lazaro Mambosasa aliyekuwa RPC wa kanda Maalum ya DSM mwenye makeke, nyodo na vitisho vya kizamani vilivyopitwa na wakati, aliyekuwa hakauki kwenye vyombo vya habari, amekumbwa na nini, mbona hasikiki tena?
Makao Makuu ya nchi yako Dodoma, naambiwa hata yeye yuko Dodoma, tena kwa cheo kikubwa zaidi kuliko alichokuwa nacho awali, sasa mbona kimya kingi?