Hivi Umaarufu wa Askari Polisi uko Dar es Salaam tu, baada ya kuhamishwa Mambosasa hasikiki tena

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,341
217,367
Au_nitangaze_PGO_ni_UCHOCHEZI%3F%3F_%F0%9F%98%86%F0%9F%98%86%F0%9F%98%86.jpg


Bado sijaelewa kisa cha Lazaro Mambosasa aliyekuwa RPC wa kanda Maalum ya DSM mwenye makeke, nyodo na vitisho vya kizamani vilivyopitwa na wakati, aliyekuwa hakauki kwenye vyombo vya habari, amekumbwa na nini, mbona hasikiki tena?

Makao Makuu ya nchi yako Dodoma, naambiwa hata yeye yuko Dodoma, tena kwa cheo kikubwa zaidi kuliko alichokuwa nacho awali, sasa mbona kimya kingi?
 
Cheo alicho nacho hakihitaji press na waandishi au kuongea ongea hovyo na waandishi ispokuwa anariport kwa Rais na mamlaka husika tu sasa utamsikia wapi? au akaongee nini kwa waandishi?
 
View attachment 1946929

Bado sijaelewa kisa cha Lazaro Mambosasa aliyekuwa RPC wa kanda Maalum ya DSM mwenye makeke , nyodo na vitisho vya kizamani vilivyopitwa na wakati , aliyekuwa hakauki kwenye vyombo vya habari , amekumbwa na nini , mbona hasikiki tena ?

Makao Makuu ya nchi yako Dodoma , naambiwa hata yeye yuko Dodoma , tena kwa cheo kikubwa zaidi kuliko alichokuwa nacho awali , sasa mbona kimya kingi ?
Anaogopa PGO
 
Polisi wa Tanzania wamekaakaa kama nini kweli.....?
Kutishana kwao
Kuonea kwao
Kubambikia kesi wao
Maisha magumu wao
Kutumiwa na wanasiasa wajingawajinga wao
Waliofeli form 4 wao (Japo plato aliwai sema hii kazi wanaiweza iron boy)

Dunia ya sahivi haihitaji nguvu ndugu zangu askari! Tupo ndunia ya maendeleo ya teknolojia naombeni mjikite zaidi huko.

Pia jamii ya sahivi imekwisha elimika na nyie elimikeni tuwe na taifa lililostarabika.
 
View attachment 1946929

Bado sijaelewa kisa cha Lazaro Mambosasa aliyekuwa RPC wa kanda Maalum ya DSM mwenye makeke , nyodo na vitisho vya kizamani vilivyopitwa na wakati , aliyekuwa hakauki kwenye vyombo vya habari , amekumbwa na nini , mbona hasikiki tena ?

Makao Makuu ya nchi yako Dodoma , naambiwa hata yeye yuko Dodoma , tena kwa cheo kikubwa zaidi kuliko alichokuwa nacho awali , sasa mbona kimya kingi ?
amestaafu uchawa wa CCM!!
 
Anatakiwa awe amestaafu maana hata umri kaongopa, haya majitu hamna kitu minyota miiingiii lakini kichwani hewa , mnakumbuka ile sinema yake ya MO na kunywa chai mara sijui viwanja vya gofu.Daslam ndio Tanzania huwezi kusikika ukiwa huko madongoporomoka
 
Anatakiwa awe amestaafu maana hata umri kaongopa, haya majitu hamna kitu minyota miiingiii lakini kichwani hewa , mnakumbuka ile sinema yake ya MO na kunywa chai mara sijui viwanja vya gofu.Daslam ndio Tanzania huwezi kusikika ukiwa huko madongoporomok😄😂😂🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom