Hivi uliwahi tumia fursa ili uonekane ni wewe kumbe wala huusiki?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Basi kuna siku niko church katikati ya matangazo kukatangazwa tangazo la emegency kuwa mwenye gari T....DCW anaombwa akazime taa za gari lake(ikumbukwe nilienda misa ile ya kwanza kabisa ya saa kumi na mbili alfajiri) basi mi nikasimama fasta kutoka nje huku waumini wakigeuza shingo kunitizama kumbe mimi nilienda chooni nilikuwa nimebanaa na haja ndogo.
Je ni fursa gani uliwahi itumia uonekane ni wewe.!!??
 
na makando makando yangu yote ila ninapokuwa ndani ya nyumba ya ibada uwa ni mtu tofauti kabisa.
i wish niishi maisha ya utauwa siku zote ila dunia inafos mengine, basi.
 
Mkuu hiyo fursa ilikusaidia kitu gani cha maana hadi ukaiita fursa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom