Hivi ule mkutano wa Msajili, Viongozi wa vyama vya siasa na Polisi ulishafanyika?

Lengo la ule mkutano ilikuwa ni kutaka kuwafundisha cdm kufanya siasa za kuiogopa na kuisujudia ccm. Baada ya cdm kugomea mkutano ule ikawa mlengwa hayupo, hivyo mkutano ukapoteza maana. Hata hizi chaguzi za sasa kitendo cha cdm kuzigomea zinazidi kupoteza mvuto na uhalali kwa umma. Hii ndio sababu wananchi wengi hawajitokezi tena kwenye hizo chaguzi za kishenzi.
Msajili wa CCM anaona aibu
 
Kati ya majaji wasio jielewa Tanzania basi Mutungi anaweza kuwa ndie kiongozi wao. Akifuatiwa kwa karibu sana na majaji walio sikiliza kesi ya kubumba ya Mbowe na ugaidi wa laki sita.
Sina ugomvi na Mutungi.
Huwa ananilazimisha nijihoji mwanachama akifukuzwa uanachama wa chama nje ya CCM nilazima ajitokeze kwa kuwaamuru viongozi wa chama husika wajieleze kwake.
Katiba za vyama humfikia msajili na wanachama au viongozi
 
Back
Top Bottom