Hivi Ukitaka Mchumba wa Namna Hii Inakuwaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Ukitaka Mchumba wa Namna Hii Inakuwaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Buchanan, Jan 26, 2010.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  Jan 26, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  [​IMG]Chrystelle Khedrouche is 36 and lives in a suburb just outside Paris. She has been wearing a burka in public for around 12 years. She is French-born, has five children, and is married to an Algerian. She is conver to Islam.

  Wapendwa wanaJF, mimi sina nia ya kudharau utamaduni uliokubaliwa na watu wenye kufuata dini ya kiislamu toka siku nyingi, lakini ningependa kufahamu juu ya namna ya kumpata mchumba ambaye huvaa mavazi kama yalivyooneshwa hapo juu. Nasema hivyo kwa sababu mara nyingi watu (hapa nazungumzia wanaume) huwa wanatazama "utu wa nje" pale wanapotaka kuoa. Kwa kuwa huyu mama hapo juu ameolewa na ameanza kuvaa "burka" hata kabla ya kuolewa (miaka 12) ina maana kuna utaratibu fulani ulitumika ili yeye kuolewa!
  Swali, Je, ni utaratibu gani huo? Sio lazima kuangalia "shape" ya mchumba wako kwanza kabla ya kumwoa? Na kama kuna utaratibu, upi huo? Tuelimishane jamani!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,426
  Likes Received: 22,341
  Trophy Points: 280
  mchumba unatafutiwa na wazazi.
   
 3. N

  Nanu JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Lazima umtembelee nyumbani ili umwone!
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  agree
   
 5. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Huyo ndiye mtamu, maana uzuri wake unauona wewe tu! Sio wale wanaofanya biashara matangazo!
   
 6. M

  Makanyagio Senior Member

  #6
  Jan 26, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Blaza hapa as long as ni mwanamke wewe unao tu hata kama an shepu namna gani? kwanza utavutiwa saa ngapi labda mkiwa chumbani kweni au wakati akioga ndo unaweza mwona. Ukusikia kuuziwa kuku kwenye gunia ndio mabo hayo. Unaswali jingini tukusaidie?
   
 7. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #7
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Unaweza kumpenda hata kwa sauti na macho tu.Sio lazima mpaka uone umbile lote.
   
 8. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Ukishangaa hilo, mchumba huyo hakufai.

  Kama mchumba huyo anakufaa, hutashangaa hilo.
   
 9. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 646
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Buchanan,
  Mada nzuri sana hii, si kila aliyeoa anavutiwa na shepu Mazee, wengine sauti, wengine kimo, wengine ukoo, wengine elimu na wengine kipato ila kama ni shepu omba akutumie picha akiwa hajavaa hivyo.
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  inatakiwa timing kama kumchinja kobe na lazima uwe shushu kwanza kwani wa aina hii umpendi au umtamani unapomwona kwenye mavazi hayo lwazima uwe umemwona mtaani unaanza kumpenda sasa
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  buji kweli zama hizi zetu nizakutafutiwa mke kweli
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Jan 26, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Wanasema lisemwalo lipo, kama halipo...
   
 13. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  nadhani umesahau kale, kaneno ka yule wa juu eeee!
  'watakujieni kwa ngozi ya kondoo ili hali ndani ni mbwa mwitu wakali' pia kumbuka mavazi siyo uhalisia wa mtu, kwani majambazi hawatumii sare za jeshi?
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,873
  Likes Received: 83,351
  Trophy Points: 280
  Miye sina matatizo ya watu wanaovaa vilemba au ushungi kama unavyojulikana kwa wengine. Kwetu Tanzania vilemba vinavaliwa na wanawake wote katika dini zetu kubwa. Lakini hawa maninja wanaovaa hivi na kuacha macho kwa kweli wananikera sana na sidhani kuna dini yoyote duniani inayowataka wanawake wa dini hiyo wajifunike gubi gubi na kuacha macho tu. Kama sikosei kuvaa namna hii kumepigwa marufuku katika nchi ya Misri. Nitafurahi sana kusikia kwamba vazi hili la kuacha macho tu linapigwa marufuku duniani kote hata katika nchi za Waarabu.
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  Jan 26, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,607
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  You are right Bujibuji;

  you know this cultural practises have long been there nefore this humna development.

  Kilichokuwa kinafanyika ni kuwa mara nyingi kijana anaoa nyumbani kwake na kwa binti anayemfahamu, hawa mabinti walikuwa katika sehemu moja na anamfahamu kipindi chote anachokua. ikifikia binti anaanza kuvaa hizo nguo still anajulikana na watu wa mahali hapo, so kuolewa anaolewa tu. hata kama kijana haumfahamu binti kama ulikuwa haupo hilo eneo then wazazi wao wanawajua maana wanachagua wa hapo hapo

  siku hizi ni ngumu mkuu, unaweza kukuka akina bwabwa wamejivika hayo manguo, si ni bora kama wanavyofanya hawa wa kitanzania-Mix kote kote!! uonekane!!

  Hyu mama pichani lazima ameolewa na mtu aliyekuwa anamfahamu utotoni wake, na si vinginevyo!!
   
 16. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .......Huu ni utamaduni wa kiarabu, utamaduni wa kiarabu wanaoana wenyewe kwa wenyewe tena ndugu.Hivyo hakuna utafutaji wa mchumba ni kuoana kwa kujuana.
   
 17. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hilo nalo neno, ukiwa unalazimishwa hata kuamini sawa na wazazi wako, ni lahisi tu,
  maana wazazi wakiamini kuwa wapo majini wabaya na majini mema na wewe unatakiwa uamini vivyo hivyo
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,873
  Likes Received: 83,351
  Trophy Points: 280
  France MPs' report backs Muslim face veil ban

  BBC News Online

  [​IMG]
  The full-face covering has inflamed passions in France

  A French parliamentary committee has recommended a partial ban on women wearing Islamic face veils. The committee's near 200-page report has proposed a ban in hospitals, schools, government offices and on public transport.
  It also recommends that anyone showing visible signs of "radical religious practice" should be refused residence cards and citizenship.
  The interior ministry says just 1,900 women in France wear the full veils.
  In its report, the committee said requiring women to cover their faces was against the French republican principles of secularism and equality.
  "The wearing of the full veil is a challenge to our republic. This is unacceptable. We must condemn this excess," the report said.
  The commission called on parliament to adopt a formal resolution stating that the face veil was "contrary to the values of the republic" and proclaiming that "all of France is saying 'no' to the full veil".
  Presenting the report to the French National Assembly, speaker Bernard Accoyer said the face veil had too many negative connotations.
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG] A law may follow, but MPs are divided over what to do [​IMG]


  Gavin Hewitt
  BBC Europe editor

  [​IMG]

  Read more in Gavin Hewitt's blog

  "It is the symbol of the repression of women, and... of extremist fundamentalism.
  "This divisive approach is a denial of the equality between men and women and a rejection of co-existence side-by-side, without which our republic is nothing."
  The report is expected to be followed by the drafting of a bill and a parliamentary debate on the issue.
  The BBC's Hugh Schofield, in Paris, says the reasoning behind the report is to make it as impractical as possible for women in face veils to go about their daily business.
  There is also a fear that an outright ban would not only be difficult to implement but would be distasteful and could make France a target for terrorism, our correspondent says.
  France has an estimated five million Muslims - the largest such population in Western Europe.
  Months of debate
  The report follows months of public debate, including President Nicolas Sarkozy's intervention, saying all-encompassing veils were "not welcome in France".
  [​IMG]REPORT RECOMMENDATIONS
  Parliament should pass a resolution denouncing full Muslim face veils
  Ban the veil in all schools, hospitals, public transport and government offices
  Bar foreign women from obtaining asylum or French citizenship if they insist on veiling their faces in state buildings
  Take into account in asylum requests the coercion to wear the full veil as an indication of a wider context of persecution
  Create a national school of Islamic studies

  [​IMG]

  The Islamic veil across Europe

  However, he did not explicitly call for a ban, saying "no-one should feel stigmatised" by any eventual law.
  Opinion polls suggest a majority of French people support a full ban.
  However, the parliamentary deputies have recommended that - for now - restrictions should be limited.
  The committee suggests a ban inside public buildings, with those who defy the ban denied whatever services are on offer there - for example state benefits.
  There are several types of headscarves and veils for Muslim women - those that cover the face being the niqab and the burka. In France, the niqab is the version most commonly worn.
  The niqab usually leaves the eyes clear. It is worn with an accompanying headscarf and sometimes a separate eye veil.
  The burka covers the entire face and body with just a mesh screen to see through.

  [​IMG][​IMG]
  Find out about different styles of Muslim headscarf
  [​IMG]

  The issue has divided France's political parties.
  The Socialist opposition has come out officially against a ban, saying it would be difficult to enforce. It says it is opposed to full veils in principle, but some members have expressed fears about any ruling that could stigmatise Muslim women.
  Meanwhile, the head of Mr Sarkozy's right-wing UMP party has already presented a bill in parliament supporting a full ban on grounds of security.
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,873
  Likes Received: 83,351
  Trophy Points: 280
  Pretty ndugu yangu, sidhani hata kama huu ni utamaduni wa Kiarabu maana mbona katika nchi hizo hao wanaojifunika mwili mzima na kuacha macho tu ni asilimia ndogo sana ya wanawake katika hizo za kiarabu? Juzi juzi tu Misri ambayo ni nchi ya kiarabu vazi hili nadhani limepigwa marufuku katika Vyuo vikuu vya nchi hiyo.
   
 20. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ya ye ryt, kweli. Lakini kwanini mtu aupapatikie utamaduni wa mtu asotaka intermarriege?
   
Loading...