Hivi ukitaka kuwa mwanasiasa unasomea nini au wapi?

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Eti wakuu nimekua najiuliza ukitaka kuwa mwanasiasa unasomea masomo gani au unasomea wapi?

Manake kuna wengine wanasema mara lazima usome sheria au Mara ujue uraia....

Alafu kwani uongozi ni usomi au ni karma kwasababu kuna watu walitumbuliwa kisa hawana elimu....

Alafu mbona wasomi wote wanaikimbilia siasa
Ina maana sisi no education hatuwezi kuwa wanasiasa

#Iam Zagarino
 
Unataka kuwa mwanasiasa wa upande wa CCM au upinzani? Sifa zao zinatofautiana.
 
Ujue kusoma na kuandika kiswahili au Kiingereza,
Ila wanasiasa wazuri ni watu wa sheriq,uchumi
 
Back
Top Bottom