Hivi ukishaprint hiyo fomu ya TCU huwezi kuedit?

pa

pia siyo lazima kuprint kimsingi vijue tu vyuo ulivyoomba
Hiv na wale wa Mikopo ni lazima uprint system ijue umeshaprint ..?! Mana niliona wengine wasiokuwa na printers walikuwa wanasave kwenye flash na kwenda kuprint, huku kwenye profile ikionyesha haujaprint.

Sijui kama ni tatizo
 
Mkuu uko Serious na inawezekana Hivyo???
"Unaprint Form bila ya System Kujua Kama Umesha Print?"

Mkuu Kile Kitendo Cha Kudownload Fomu na Kuingiza Kwenye Flash tu as a Pdf, Basi Hapo Tayari umesha print na System inakuwa imeshakutambua kuwa umeprint.

Hile Kwenda Stationary Ukatoa HardCopy ni Kuprint Nje ya System tu.
Lakini Ndani ya System ni Pale uliposave File Ndani ya Flash.
 
jamen hv ukishaprint hyo fom huruhusiwi kuedit au kubadili vyuo?
Soma Hayo Maandishi Yenye Wekundu Ndiyo Yenye Jibu Officially La TCU.
TCU EDIT.png
 
Du
Mkuu uko Serious na inawezekana Hivyo???
"Unaprint Form bila ya System Kujua Kama Umesha Print?"

Mkuu Kile Kitendo Cha Kudownload Fomu na Kuingiza Kwenye Flash tu as a Pdf, Basi Hapo Tayari umesha print na System inakuwa imeshakutambua kuwa umeprint.

Hile Kwenda Stationary Ukatoa HardCopy ni Kuprint Nje ya System tu.
Lakini Ndani ya System ni Pale uliposave File Ndani ya Flash.
Duuh, mpaka umeniona sipo serius mkuu..!!
Kumbuka nazungumzia bodi ya mikopo (HESLB).

Nimeona kwa vijana watatu, wakisave system inaendelea vile vile na kale kaonyo kuwa ukiprint hutaweza kuedit tena. Sijaona profile za walioprint moja kwa moja ndo mana nikauliza kama kuna utofauti wowote.

Nipo serious mzee, si unajua mambo ya mitandao na ushamba wake..!!
 
duuu hpo mkuu sjaelewa asee....kwahyo ukiedt afta printout huruhusiwi? msaada plz

Mkuu Maana ya Maneno Hayo Kwa Ufupi ni Kwamba:-
Ukisha Print Ni Kwamba utakapoedit information ndani ya Profile Yako, Hile HardCopy uliyoprint inaexpire/invalid.
Na kama umependa Kuprint Basi Uprint Fomu hile uliyoifanyia edit.
Kwahiyo Kila ukidet uprint tena kwani iliyopita inakuwa haifai tena.

Kwahiyo unaweza Kuedit mara 10 na ukaprint Mara 10.
 
santeeee mkuuu nimekuelewa..Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom