Hivi ukiporwa simu na mpenzi wako baada ya kugundua kuwa unamsaliti, utachukua maamuzi gani?

Harrykany

JF-Expert Member
May 10, 2019
615
662
Mida ya saa 20:30. Nilikua natembea zangu road, Ile naangalia mbele naona watu wawili, wanasukuma njiani, mwanamke anaelekea barabarani jamaa anamfata nyuma. Kwa speed. Yule Dada alipo fika barabarani bajaji ikafika akataka kupanda jamaa akaenda kwa nguvu kumzuia.

Yule Dada akamsukuma jamaa hadi chini, yule dada akaingia kwenye bajaji Na bajaji ikasepa, jamaa akabaki anashangaa, mwenzie akafika pale akamwambia yule demu kachukua simu yangu, hataki kunipa. Et kisa kajua Jana nilikua Na Yule demu wa mgahawani, Ivi kapanda bajaji, kaenda nayo, nawao pia, wakaita boda boda, wakafata bajaji. Huko sijui kimeendelea nini,

Hivi wewe, utafanyaje mpenzi wako akikupokonya simu Na kuondoka nayo, afu Ni usiku, Na kulala bila smartphone yako uliyo izoea Ni kazi. Kwa Mimi hata bajaji asinge weza kupanda, kwa jinsi simu yangu, nilivo izoea Na sitaki nikae nayo mbali, Na baada ya kuchukua simu. Yangu huyo mwanamke. Biashara inakufa, muda huo huo, maana mpenzi anachukua simu, akiwa mke si ndo anachoma hata nguo zangu zote
 
Mida ya saa 20:30. Nilikua natembea zangu road, Ile naangalia mbele naona watu wawili, wanasukuma njiani, mwanamke anaelekea barabarani jamaa anamfata nyuma. Kwa speed. Yule Dada alipo fika barabarani bajaji ikafika akataka kupanda jamaa akaenda kwa nguvu kumzuia, Yule Dada akamsukuma
Mambo yaliyopelekea mauti ya Kanumba haya.
 
Back
Top Bottom