Hivi ukiongeza kodi kwenye mafuta, bei itabaki pale pale?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Hili ndio swali ninalojiuliza na sitashangaa wafanyabiashara wa mafuta wakapunguza au kuacha kabisa kuagiza mafuta in case wanapata hasara.

Tunaweza kufurahia haya maamuzi leo hii halafu kesho tukaanza kulia kuna uhaba wa mafuta.

Inawezekana tunafanya maamuzi bila kuwaza kwa mapana nini inaweza kuwa athari za maamuzi tunayoyafanya.

Kama ni EWURA wanakosea, ukweli utajulikana, na kama ni siasa imehusika, pia ukweli utajulikana.

Tunaomba matokeo ya uchunguzi wa hiyo Tume/kamati iliyoundwa yawekwe hadharani.

Tujipe muda.
 
Wanyonge wengi watajuta kuifahamu hii Serikali ya awamu ya sita!! Daima watamkumbuka sana kipenzi chao.
 
Naona kama kuna kitu hakipo sawa mahali. so many changes at the same time.
 
Back
Top Bottom